ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Na matokeo yake wataya tambua na kuya kubali ?Watashiriki tu hata isipopatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na matokeo yake wataya tambua na kuya kubali ?Watashiriki tu hata isipopatikana.
Sawa, wacha tusubiri hiyo miaka.Msimamo wa CDM kama chama hautabiriki, lakini sisi wapiga kura tunaojitambua bila tume huru ya uchaguzi au katiba mpya, hatutojitokeza kupiga kura kwenye huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Na matokeo yake wataya tambua na kuya kubali ?
Imeandikwa , Omba utapewa .Kwann
Hela zake zitaishia kwa Waganga.Mrisho Gambo Hali Tete
Kosa watakuwa wametenda toka kabla hata ya kuenguliwa majina yao na mawakala wao kuzuiwa kuingia ndani ya vituo.Itategemea uchaguzi utakavyoendeshwa,
Sasa unafikiria wagombea wa CHADEMA tu wakienguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza fomu au mawakala wao tu wakizuiwa kuingia vituoni watayakubali hayo matokeo?!