DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka eneo la nje ya mahakama hiyo kwakuwa wamechelewa hivyo haiwezekani tena kuingia ndani.
Video: Habari Digital
Mbona nyie UWT huwa hampigwi?Virungu Mahakamani kawaida sana 🐼
Ndio maana Mimi Huwa naomba usiku na mchana huyo unaye mpigia debe afe kabla ya July, 2025Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Siku zote inajaza hadi watu 500 leo ndio 80 tu?Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Sisi siyo waleta Vurugu 😁Mbona nyie UWT huwa hampigwi?
Sababu ni chawa wa mazaSisi siyo waleta Vurugu 😁
Mama samia acha tabia hiyoWapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Ili kuweza ku-accomodate watu zaidi ya 80, wairushe kesi hiyo kwenye live tv watu waangalie wakiwa majumbani mwao pasipo kuleta usumbufu kwa polisi au kwa mahakamaWapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Kupigwapigwa nako ni hobby Kwa nn msitulie makwenu wkt Hana umuhimu wowote hapo mahakamaniSababu ni chawa wa maza
Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao