PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.

Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka eneo la nje ya mahakama hiyo kwakuwa wamechelewa hivyo haiwezekani tena kuingia ndani.

Video: Habari Digital
Fujo zisizo na ulazima
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna njemba kachezea rungu mbili za mgongo sijui kama atalala vizuri wiki hii.
 
Ili kuweza ku-accomodate watu zaidi ya 80, wairushe kesi hiyo kwenye live tv watu waangalie wakiwa majumbani mwao pasipo kuleta usumbufu kwa polisi au kwa mahakama
Utalipia gharama mkuu?
 
Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Kwa kuwa mama yako amezoea kupigwa na baba yako mlevi basi ndio unaona kila mtu anastahili kupigwa we ponjoro
 
Siku vyombo vya Usalama Sometimes sio Lazima kutumia Nguvu
 
Dah!!!

Pindi dunia itakapopinduka na kulazimisha yule wa kwanza awe wa mwsho, na yule wa mwisho kuwa wa kwanza, sielewi kitatokea nini
 
Punda haendi bila mijeledi.Hawa ustaarabu hawawezi dawa yao virungu tu.Baada ya virungu walitii sheria.Unaambiwa Mahakama imejaa unataka kugeuza eneo la Mahakama kijiwe.Unaombwa kistaarabu uondoke hutaki unatunisha misuli utafundishwa adabu.Shwaini wahed.
 
Back
Top Bottom