UtatanguliaNdio maana Mimi Huwa naomba usiku na mchana huyo unaye mpigia debe afe kabla ya July, 2025
Walishasema kesi itaonyeshwa LIVEIli kuweza ku-accomodate watu zaidi ya 80, wairushe kesi hiyo kwenye live tv watu waangalie wakiwa majumbani mwao pasipo kuleta usumbufu kwa polisi au kwa mahakama
Wewe keyboard warrior mbona hauonekani Kisutu?Umepata nini sasa baada ya kupigwa wewe chawa?
Kajichanganye Kisutu wewe keyboard warriorHovyo! Ndo maana na wewe unaamini kwamba samia ana PhD?
kuwa na moyo wa utu basi kima we! Unashadidia polisi wapige watu, achaga roho ya kikatiliWapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Punda kabisa.Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Kwani si iko live kwenye online TV. Tena nasikia kuna watazamaji kama milionibkadhaa hivi. Si wakafatilie huko?Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka eneo la nje ya mahakama hiyo kwakuwa wamechelewa hivyo haiwezekani tena kuingia ndani.
Video: Habari Digital
Unaniita keyboard warrior kwani wewe ni nani?Kajichanganye Kisutu wewe keyboard warrior
Siku hizi hata watu wa form iv nao wanapewa PhD kama samia ??Kajichanganye Kisutu wewe keyboard warrior
Angalia usije ukaanza wewe kusafiri safari ya milele.Ndio maana Mimi Huwa naomba usiku na mchana huyo unaye mpigia debe afe kabla ya July, 2025
Afrika yote polisi sio wa kuwachezea hata kidogo.Police anapipa kama anaua nyoka.
Hivi kwa nini askari wana roho mbaya sana?
Nchi Haina mwenyeweBaadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka eneo la nje ya mahakama hiyo kwakuwa wamechelewa hivyo haiwezekani tena kuingia ndani.
Video: Habari Digital