Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Tulia dada anguHakuna nchi inaweza kuruhusu ujinga huo
Tulia dada anguHakuna nchi inaweza kuruhusu ujinga huo
Acha kulia lia.. nenda KisutuSiku hizi hata watu wa form iv nao wanapewa PhD kama samia ??
Cha muhimu wakiendelea kukaidi watapigwa tu.Tangazo limetoka late sana halikufikia Baadhi ya watu, hayo yasingetokea!
hapakuwa na sababu yeyote ya msingi kwa polisi kufanya hiki walichofanya tena mbele ya kamera. polisi wa tanzania ni wakatili sana. utafikiri hawajazaliwa na watanzania.Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka eneo la nje ya mahakama hiyo kwakuwa wamechelewa hivyo haiwezekani tena kuingia ndani.
Video: Habari Digital
HII Dhambi ya Kuondoa Chuma haitawaacha Salama Kabisa, Lazima ianze kurudi kinyume nyume iwatafuneNdio maana Mimi Huwa naomba usiku na mchana huyo unaye mpigia debe afe kabla ya July, 2025
Nilie umeambiwa mm nashabikia PhD za jalalani? Unayeliwa wewe uliyekana hata jina la mama yako na kujiita SAMIA! Au nawe una PhD fake kama hata degree unayo basiAcha kulia lia.. nenda Kisutu
Nchi hii haijazaliwa na tumbo la mama yakoWapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
Jinga kabisa wewe. Unafikiri watu wote humu wapo kariakoo????Acha kulia lia.. nenda Kisutu
ni mtu punguani pekee anaweza kufurahia wanachokifanya polisiUnaandika kishabiki sana.
Matendo ya police wetu huwa si ya kiungwana kwa watu wasio na silaha kwanini washambuliwe na jeshi lao. ?!. Upuuzi mwingine huu
Kwani wakiachwa kuna athari gani?!,, Na je ilikuwepo list ya majina ya wanaotakiwa kuingia??Ili kuweza ku-accomodate watu zaidi ya 80, wairushe kesi hiyo kwenye live tv watu waangalie wakiwa majumbani mwao pasipo kuleta usumbufu kwa polisi au kwa mahakama
unaweza kufuraia kumbe aliyepigwa ni mchepuko wa mama yakoKuna njemba kachezea rungu mbili za mgongo sijui kama atalala vizuri wiki hii.
Keyboard warriors acheni kulialia. Nendeni KisutuNchi hii haijazaliwa na tumbo la mama yako
Keyboard warrior detected on the comment sectionKahaba mkubwa wewe unakunywa damu za Watanganyika.
hizo ni siasa za matyako wazi na ni punguani pekee anaefurahia mwenzie kuteseka maisha haya tunapita achdni kiburi cha uzimaKeyboard warriors acheni kulialia. Nendeni Kisutu
CHADEMA punguzeni ujuaji mtaumia aisee.Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka eneo la nje ya mahakama hiyo kwakuwa wamechelewa hivyo haiwezekani tena kuingia ndani.
Video: Habari Digital