PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Polisi kazi ya laana kila jambo lawama zote juu yao wakistaafu mabusha na VVU inajuishwa kwenye mafao yao
 
Ili kuweza ku-accomodate watu zaidi ya 80, wairushe kesi hiyo kwenye live tv watu waangalie wakiwa majumbani mwao pasipo kuleta usumbufu kwa polisi au kwa mahakama
Walishasema kesi itaonyeshwa LIVE
 
Wapigwe tu. Washaambiwa mahakama ina uwezo wa watu 80 tu ila wao kwa ujuaji wao wanalazimisha. Polisi zuieni hao
kuwa na moyo wa utu basi kima we! Unashadidia polisi wapige watu, achaga roho ya kikatili
 
Kwani si iko live kwenye online TV. Tena nasikia kuna watazamaji kama milionibkadhaa hivi. Si wakafatilie huko?
 
Hii nchi inahitaji ukombozi - chawa wamejipamyeza kila idara za serikali, mbaya sana
 
Kajichanganye Kisutu wewe keyboard warrior
Unaniita keyboard warrior kwani wewe ni nani?
Ndo mana unaamini kwamba SAMIA SULUHU HASSAN naye ana PhD wewe kw huu ujinga unaoandika?
Tangu lini mtu mwenye PhD akaongea mambo serious kama yupo kwa mashoga zake kwenye kitchen party?
Nawe unasshangilia kama zuzu?
Hovyoo
 
Mbona huyo mzee wa gwanda la kijani anampiga mwenzie kama mwizi
 
Nchi Haina mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…