PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hapakuwa na sababu yeyote ya msingi kwa polisi kufanya hiki walichofanya tena mbele ya kamera. polisi wa tanzania ni wakatili sana. utafikiri hawajazaliwa na watanzania.
 
Unaandika kishabiki sana.

Matendo ya police wetu huwa si ya kiungwana kwa watu wasio na silaha kwanini washambuliwe na jeshi lao. ?!. Upuuzi mwingine huu
ni mtu punguani pekee anaweza kufurahia wanachokifanya polisi
 
Ili kuweza ku-accomodate watu zaidi ya 80, wairushe kesi hiyo kwenye live tv watu waangalie wakiwa majumbani mwao pasipo kuleta usumbufu kwa polisi au kwa mahakama
Kwani wakiachwa kuna athari gani?!,, Na je ilikuwepo list ya majina ya wanaotakiwa kuingia??
 
CHADEMA punguzeni ujuaji mtaumia aisee.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…