Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Sijajua vigezo wanavyotumia kumverify member naona blue tick tu
Nenda pale kwenye settings ili ukifa iwe rahisi watu kujua na kuhudhuria msibani au mazishi yko.
 
 
إنا لله وإنا إليه راجعون

Kila nafsi itaonja umauti, na hakuna atakaebakia isipokuwa Allah peke yake.

Allah atujaalie mwisho mwema.

Nawapendeni wote bila kujali dini ya mtu, kabila, utaifa n.k.

Bhujiku ng'waka
 
RIP warumi
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], Jah aendelee kukupumzisha kwa amani huko uliko.

Ma friend, ma neiba, ma kidampa. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Acha Kabisaa it was hard!!![emoji22][emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]so hard
Mungu ampe pumziko amekufa kijana mdogo Sana Tena mnoo!!!
 
Yaani acha kabisa sipati picha walomponda na kumdhihaki sijui walijskiaje after his demise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…