Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Tumewapoteza members wetu wengi wa JF wengine tunataarifa zao na wengine hatuna taarifa zao ila walishatangulia mbele za haki. Basi tusiache kuwakumbuka, kuwaombea na kuenzi yale mema yao yote hapa jukwaani na kuutambua mchango wao!
giphy.gif
R.I.P
IMG_20220718_142633.jpg
 
 
إنا لله وإنا إليه راجعون

Kila nafsi itaonja umauti, na hakuna atakaebakia isipokuwa Allah peke yake.

Allah atujaalie mwisho mwema.

Nawapendeni wote bila kujali dini ya mtu, kabila, utaifa n.k.

Bhujiku ng'waka
 
RIP warumi
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], Jah aendelee kukupumzisha kwa amani huko uliko.

Ma friend, ma neiba, ma kidampa. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Acha Kabisaa it was hard!!![emoji22][emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]so hard
Mungu ampe pumziko amekufa kijana mdogo Sana Tena mnoo!!!
 

Huyu Mwanetu alisikitisha saana.

Rip folk.
Yaani acha kabisa sipati picha walomponda na kumdhihaki sijui walijskiaje after his demise
 
Back
Top Bottom