Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

mambo Asha? Twajuana ati kiroho,au?msalamie Lizzy mwambie nammisooo!!! Mwambie ka vipi tuoane,nimechoka na wake za watu mie!
 
Dahhhhh
Imenibidi niruke comment za watu siwezi kusoma zote, inanitia machungu sana..
Hii thread kwa kweli inanihuzunisha sana. asante sana kwa alieanzisha thread binafsi
sipendi kufikiria kuhusu kifo bali kujiiandaa tu..
2011 ulikuwa mwaka wa huzuni kwangu kwa kweli nimepoteza marafiki wawili
moja wa kike mwingine wa kiume. (ninapoishi) .. huzuni zaidi baada ya kupata taarifa
za mwanajamvi mwenzetu Chentutu.. na Kijana Abbasi .. Kwa kweli binadamu tu mavumbi tu..

I'm just praying mwaka huu utakuwa tofauti..
 
Ameen,ahsante AD.
 
Jamani mimi sijafa,nipo humu humu ila tu nime change jina,...
Kwa wenyeji saaana wakiona avatar watajua origina "fake name" ilikua ipi.

Nikifa kuna watu kama 6 hivi wata wataarifu,lakini sio leo wala kesho
maana kazi niliyo tumwa kufanya haijaisha bado,najua nyumbani wananisubiri kwa hamu sana,...
Ila kazi yangu haijaisha.
 
R.I.P. Wapendwa wetu woote mlotangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema awapatie pumziko la amani.....AMINA!!!
 
Ninawaombea kwa Mola wale wote waliotangulia mbele ya haki, Awajalie Makazi Mema.

Ushauri wangu, itakuwa jambo la busara kwa wale wanaotaka taarifa zao za ugonjwa au kifo ziletwe hapa, basi wawaarifu jamaa zao wa karibu kuwa wao ni member hapa na wawaagize kuleta taarifa hiyo kuwajulisha wengine.
 
Hahahaa, maneno yako yamenikumbusha mengi sana.

Watu wengi waliosoma nchi za Ulaya na kubaguliwa huko au kutukanwa, kupigwa, kutemewa mate nk huwa wanapoondoka Ulaya, wanatangaza kabisa watakuwa wabaguzi wa Rangi mara wakirudi Tanzania.

Wengi wao huishia kuwa Walokole au watu ambao wakiona Wazungu hasa wa nchi walizokuwa wanasoma, wanaanza kuongea nao kwa furaha na kujikumbusha enzi wanasoma huko.

Sasa wee Mkuu, hata ukifa leo, watu wote uliowalima BAN kwanza watacheka na mwisho watasikitika sana kwa sababu amini usiamini kila mtu akionja kifungo chako, basi anakuwa na wewe karibu sana. Mnakuwa kama maadui wawili mnaoishi majirani. Siku mmoja wenu akiondoka, basi jamaa atakosa mtu ambaye alikuwa akimuogopa na kumchukua (Maneno ya Nyerere, Uzanzibari na Uzanzibara upo kwenye Muungano tu, Muungano ukifa, hamna tena).

Ubaya na Uzuri wa PAW ni akiwa hai. Akishakufa huuoni tena ubaya wake wala uzuri wake, inabiwa ukiwa na upweke (Vacuum)
PAW akitutoka naamini taarifa zitafika kwenu hakika, na wengine sherehe...

Ama kwa hakika inatia huzuni kubwa kwa wenzetu waliotutangulia mbele za haki. Mungu awapumzishe sehemu salama Amin

JF ni zaidi ya familia.
 
badi sijaelewa ulivyomjua.Ila pole kwa kupoteza rafiki.

QueenKami, Nilimfahamia mpenzi wa Islam hapa hapa jamvini na hadi tukafikia kutumiana PM kujuliana hali kila baada ya siku chache huyu alikuwa karibu mno na Mkuu X-PASTER ambaye ndiye aliyeleta taarifa ya kufariki kwake hapa jamvini.
 
Dah kweli. NGoja kuna rafiki yangu nilimgundua humu baada ya kusoma mawazo yake nikajua ni yeye, nikambana akakubali. Sasa na mimi nimpe ID yangu just incase.
R.I.P mLIOTANGULIA.
Kule kwenye Jukwaa la utani, kunajamaa alikuwa na mandevu zaidi ya Osama, ckuhizi kimya. Alikuwa ana jokes nzuri sana.
 
coments ni nyingi nimechelewa sitaweza kujibu zote.
ila sasa mfano ndo mtu ana id sasa sijui itakuaje hapo,sijui tutajulishwa zote au ndo zingine zitapotea tu tubaki tukijiuliza.
Mim nimeamua kwamba nitaacha maandishi yenye my username na ID yangu,pia nitaacha maagizo kuwa ikitokea hivyo wawaoneshe na picha zangu.
 
mimi nimekata tamaa ya maisha,siku nikiamua kuji alqaeda ntatoa taarifa.
 


Sijui ilikuaje Queen... But I did not see this post.....

Naelewa what you mean, Kama vile sasa members nilonao na nimezoeana nao sasa ikitokea hawatakua active in the future or near future, ni lazima nitawa kumbuka na wishing to know what really went wrong... asking questions kama are they OK? Alive? na the like. It is good of you to have thot of the issue and presenting it here.... It is one of the ways of remembering them....
 
Kiongozi ! Mz Nyani ! Hii habari inagusa moyo! Hivi leo mimi au wewe, yule, afe and then pasiwepo wa kujua ! Terible ! Wewe kama mmoja wa Super senior member also celebrity hapa Jf unalisemeaje hili ?

Siku ya siku ikifika na mauti kunifika nadhani itajulikana tu, nipende nisipende. Ila siwezi kujua hilo kwa uhakika.
 

kumbe wewe muislam...ndio mana abaya nyiiiiiingi,mke wa sheikh nini mwenzetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…