Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Una uhakika na usemayo???

Nina uhakika wa asilimia 110 Mama Tuli.

Najua ushawahi kusema wanijua. Mimi nasema hivi, hunijui (usiisome hiyo 'hunijui' kwa ubaya).

Kama wanijua, nitajie initials za majina yangu. The ball is in your court.
 
Did you want to say "the balls are"
 
Nina uhakika wa asilimia 110 Mama Tuli.

Najua ushawahi kusema wanijua. Mimi nasema hivi, hunijui (usiisome hiyo 'hunijui' kwa ubaya).

Kama wanijua, nitajie initials za majina yangu. The ball is in your court.

Lol.....hapo kwa red nitasomaje kwa uzuri:frown:
haya bwana muda si mrefu tutaonana nitakushika mkono na kusogeza pembeni ndio utaelewa:wink2:
 
Jf kuna waungwana kama mtambuzi ambae anapenda kufuatilia mtu hata kumtambua inabidi tuwe na moyo wakutafutana walau tujuane zaidi. hapa ni zaidi ya familia.
 
mpe pole sana,mwambie ktk maombo yangu yupo.

Asante sana qeen, Naamini mwenyezi Mungu atampa ahueni. Humu si wote wenye kupenda kukutana ila kwa wale ambao wako willing tukutane ebu tujaribu hili tuone kama tunaweza. Qeen fanya mpango tukutane.

Wish you all the best!

CD
 
Tatizo nalo liona hapa ni haya majina yetu tunayoyotumia ndo kimeo. So ungeekwa utaratibu majina halisi yawepo even though mna comment hadi daaaa. Inatisha espc ukienda jukwaa la siasa. mi sioni tatizo slogani ya JF iko wazi kwa nn tufiche majina ya ukweli kama kinachojadiliwa nin ukweli tupu.
 
Bado si tatizo kabisa, kama ukiweka namba za simu tukikutana tutajua majina mbele kwa mbele. 0655 447788. Wengi ukiwemo wewe utashindwa hata kuweka namba ya simu. Haya mimi nimeanzisha wengine mfuate kama kweli tuna nia ya kukutana.
 
Regia Mtema, Rest in Peace, tutamis updates zako!
 
hii thread kwa kweli imenihuzunisha, then imeonyesha umuhimu wa kujuana na kufahamiana.
Plse wana jf lets think twice.
 
Napata taabu sana nikiwaza tutapataje taarifa za kifo cha mwanaJF nikiwemo mimi. Nimewazoea sana.
 
usipowaona mtandaoni kwa miaka 3 ujue wamekufa, at least hayo majina yao
 
mshaanza..Kuna member alileta thread kama hii kabla ya kifo cha regia na memba kadhaa na akaanza kujua
 
usipowaona mtandaoni kwa miaka 3 ujue wamekufa, at least hayo majina yao
kwa maana kwamba kifo kina tafsiri nyingi hapa atakuwa amekufa ki uhai wake jamvini yaani kuchangia!!!
 
Back
Top Bottom