Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
Sasa nisemeje? ..unaogopa kufa ww??Kwanza tumia maneno mazuri ya kiuandishi, "eti waliokufa"?. Kwa hiyo watu wanaotumia hii mitandao hawafi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nisemeje? ..unaogopa kufa ww??Kwanza tumia maneno mazuri ya kiuandishi, "eti waliokufa"?. Kwa hiyo watu wanaotumia hii mitandao hawafi?
Mkuu.@Boflo hujuwi Muanzilishi wa facebook MR Mark Zuckerberg ni Free Mason anawatowa Member wake Sadaka? ili aweze kuwa tajiri duniani.Mpaka sasa wana Jf waliokufa wanakidiriwa kufika wangapi?
Kuna habari 1 nimesoma inasema kua mpaka sasa watumiaji
wa facebook waliokufa wanafika milioni 33
Ningeomba Mods wa JF waifanyie kazi hii issue, ni muhimu sana
mkuu.@boflo hujuwi muanzilishi wa facebook mr mark zuckerberg ni free mason anawatowa member wake sadaka? Ili aweze kuwa tajiri duniani.
I see
Tuwe tunaenda kuanua matanga?
mzizimkavu umenizindua sana, na sasa nimekuamini, huwa nina kawaida
nikisikia fulani amekufa haraka nina search jina lake kwenye facebook
kuangalia account yake, na akila anayekufa niliyemsikia huwa nampata fb
asante sana mzizi kwa kunizindua
hata haueleweki unachoongelea, hapa tunaongea mengineupofu ni mbaya sana na waliofariki kwenye ghorofa la dar juzi juzi na walikuwa na fb account nao ni mark ndo kawaua?
Na rubani wa ndege iliyoangua arusha kama ni fb member naye ni mark kamuua??
Na ndugu zako je?.
NAJUA UMASKINI NDO CHANZO CHA FIKRA HIZI
Mkuu Boflo ukiwa ni Mwanachama wa FRee Mason lazima utoe kafara kila mwaka usipo toa kafara wanakumaliza wewe mwenyewe wew angalia kila mwanachama wa Free Mason lazima atoe kafara ndio wakupe utajiri wao sasa huyu Mkuu wa Facebook anao wanachama wangapi duniani? MR Mark Zuckerberg ? Lazima awe Tajiri kwa kuwatowa hao Wanachama wake Sadaka kwa shetani mkuu wa Dunia Lucifer.MziziMkavu umenizindua sana, na sasa nimekuamini, huwa nina kawaida
nikisikia fulani amekufa haraka nina search jina lake kwenye facebook
kuangalia account yake, na akila anayekufa niliyemsikia huwa nampata Fb
asante sana mzizi kwa kunizindua
Eleza umuhimu wa kujua data hiyo.
Mkuu Boflo ukiwa ni Mwanachama wa FRee Mason lazima utoe kafara kila mwaka usipo toa kafara wanakumaliza wewe mwenyewe wew angalia kila mwanachama wa Free Mason lazima atoe kafara ndio wakupe utajiri wao sasa huyu Mkuu wa Facebook anao wanachama wangapi duniani? MR Mark Zuckerberg ? Lazima awe Tajiri kwa kuwatowa hao Wanachama wake Sadaka kwa shetani mkuu wa Dunia Lucifer.
![]()
ili awe tajiri na asipo toa sadaka kwa hao wanachama wake watamuuwa yeye mwenyewe.
angalia Video hii hapa chini
Mkuu Boflo unataka utajiri unaotokana na shetani Lucifer?