Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

wazo zuri na mm nimekuwa nikilitafakari, ila ukini pm nitakupa mbinu nilizozi -wasia
 
Inahusu nini kujuana vifo vyetu? "dead men don't count".
 
Die first and you'll get the perfect ans on how we will be informed.Sikuombei mkuu,just a joke but easy to understand the message...
 
Napata taabu sana nikiwaza tutapataje taarifa za kifo cha mwanaJF nikiwemo mimi. Nimewazoea sana.
Wewe ukifa huwezi kupata taarifa yako, utakuwa ni member wa JF zingine kama zipo peponi. Sir God atakupa taarifa.
 
kwa mfano mchaga 25 ameua , mwita25 amefariki na muhaasili amekufa kifo cha kustukiza nk
 
Kwanza tumia maneno mazuri ya kiuandishi, “eti waliokufa”?. Kwa hiyo watu wanaotumia hii mitandao hawafi?
 
Back
Top Bottom