Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P


kina nani hao unaowapenda?
 
PAW akitutoka naamini taarifa zitafika kwenu hakika, na wengine sherehe...

Ama kwa hakika inatia huzuni kubwa kwa wenzetu waliotutangulia mbele za haki. Mungu awapumzishe sehemu salama Amin

JF ni zaidi ya familia.



Pal... I really hope you do not believe that! Kifo ni kitu kingine kabisa.....
 
Reactions: Paw
The Romantic NDIO mimi ni Muislam thou mume sio sheikh.... Ila naomba kujua "abaya" ndio nini?

Hayo mavazi yako unayovaa daily japo nakuona kichwani tu lakini nahisi ni mpaka chini ...maana hijab haiendi peke yake ati
 
The Romantic NDIO mimi ni Muislam thou mume sio sheikh.... Ila naomba kujua "abaya" ndio nini?

Dah,AshaDii kwa hiyo hata tukikutana bado ntakuwa ni sawa sijakuona tu maana ntaona
macho peke yake then imetoka?
Aisee,itabidi ujifunue uso siku hiyo dadangu at least kwa dakika mbili
 
MTAMBUZI samahani kama nitakua nimekusoma wron' uelekezi wako hapa unaonesha kabisa una kila elements ya mzaha. Sasa kama niko sahihi kwa mpango huo Jf membars mtajuana kweli ?

Hivi huniamini? nakuja mjini kibiashara tu mkuu, lakini makazi ni kule au?
 
Itabidi tufanye get tugeza tukutane lakini still hamna kutajana majina ya huku JF ila watu watajuana kiukweli na it will be better coz watu wata exchange contacts.
 
hakuna haja ya kujuana kwani humu ndani kuna watu wakifa wengine watafanya sherehe.
mimi naona iwe hivi kimyakimya.

mimi nikifa hamtachelewa kujua kwani nina jina la ukweli na picha ya kweli.
 
https://www.jamiiforums.com/members/pakajimmy.html Bila kufanya juhudi za kufahamiana, mambo huwa kama stori ya rafiki yetu Abuu mkongo hapo juu!

 
Mi nikikaribia kuondoka ntawajulisha.

RIP kwa waliotangulia.

Kweli wewe kiboko unajua hata siku yako ya kufa!!!!! Mola awalaze mahali pema peponi waliotutangulia.
 
Dah!huu uzi umenitoa machozi,
Hivi naweza kufa alafu hata humu msijue jaman!
R.I.P Wote mliotangulia mbele ya haki,
Anayetaka kujuana na mm niko tayari napatikana dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…