Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Habarini, nauliza ikiwa imetokea kwa mfano mtu amekufa na ni mwanachama mwenzetu wa Jf habari za kifo chake zitafikaje maana humu sio wote wanaojuana. Kuna wengine ID zao ni kubwa tu humu ndani ila hawajawahi kukutana na mwana Jf.. Mwisho nawaulizia hawa watu mbona siku nyingi sijawaona
Miss chaga
Watu8
Na wengineo wengi tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mungu wako hai hawajafariki hao
Mwaka juzi kalitokea katabia ka watu kujizushia kifo kwa kutumia ID nyingine!aisee walitumbuliwa haraka sana
BTW kifo ni kifo na habari hupatikana kwa namna ya ajabu kabisa japo zipo casualties chache ambazo watu hupotea mazima bila kujulikana hapa jukwaani
 
watakuwa wameibiwa simu mkuu
 
Kifo kwa mtu asiyekuwepo hajulikani... ?
Mantiki ya anonymous person ni hiyo. Hajulikani ulizaliwa lini? Unafanya nini? Uko wapi? na utakufa lini ...!!! .
 
Habarini, nauliza ikiwa imetokea kwa mfano mtu amekufa na ni mwanachama mwenzetu wa Jf habari za kifo chake zitafikaje maana humu sio wote wanaojuana. Kuna wengine ID zao ni kubwa tu humu ndani ila hawajawahi kukutana na mwana Jf.. Mwisho nawaulizia hawa watu mbona siku nyingi sijawaona
Miss chaga
Watu8
Na wengineo wengi tu
Umeenda mbali(kwy kufa)wakati hata akipewa uwaziri,uRC,uDC,uDED kama alikuwa ni mkosoaji wa watawala hapa, basi anatulia kama mfu vile!
 
Inabidi kuwe na special thread ambayo ni attendance
mtu asipoonekana hapo miaka miwili tunamfanyia sala

Nmeipenda sana hii! Kwamba usipoonekana miaka miwili unafanyiwa sala ya ulazwe pepa peponi!!! Yani nkisikia tu mmeanza sala ntarudi kasi sana na kusema guyz guyz am still alive please stop that nonsense
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kwasababu tupo na fake IDs wala haina haja ya kujua kama mtu amefariki. Wala usiwe bothered kabisa mtoa mada.
 
Inabidi tuanze kua na secret friend ambaye utampa details zako zote ikiwa ni pamoja na adress,namba za cm,unapoishi kila kitu na umuandike kwy wosia kwamba mtu huyu apigiwe simu atoe taarifa JF!
Aiseeeeeeeeeh
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mungu wako hai hawajafariki hao
Mwaka juzi kalitokea katabia ka watu kujizushia kifo kwa kutumia ID nyingine!aisee walitumbuliwa haraka sana
BTW kifo ni kifo na habari hupatikana kwa namna ya ajabu kabisa japo zipo casualties chache ambazo watu hupotea mazima bila kujulikana hapa jukwaani
Mtani,

Binadamu hamnazo kweli. Sasa walijizushia ili wapate nini kwa mfano???
 
Back
Top Bottom