ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Okay..hapana tatizo nduguNaomba hata wewe tujuane nje ya jf please, unaweza ni PM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay..hapana tatizo nduguNaomba hata wewe tujuane nje ya jf please, unaweza ni PM.
[emoji15] [emoji15]Rambiramb ntaituma ila Nataka na resit, tena ya ki electronic.. Kwa pamoja tunajenga uchumi.. imetolewa na TRA
Kwamba huyo kwenye avatar ni wewe???Itajulikana tu... Bahati nzuri sikuhizi hatujifichi sana... So ni rahisi habari kufika
Watu8 aliteuliwa Ukuu wa Mkoa kwenye mkoa Fulani hivi .Habarini, nauliza ikiwa imetokea kwa mfano mtu amekufa na ni mwanachama mwenzetu wa Jf habari za kifo chake zitafikaje maana humu sio wote wanaojuana. Kuna wengine ID zao ni kubwa tu humu ndani ila hawajawahi kukutana na mwana Jf.. Mwisho nawaulizia hawa watu mbona siku nyingi sijawaona
Miss chaga
Watu8
Na wengineo wengi tu
Really??R.I.P kabanga
Kweli...???Really??
Kwanini anapotosha umma?muxar una hakika Kweli nimekufa....??? Unataka ban....???
Huyu mzushi tu, amenitafuta...??? Hajui kuwa nipo Karibu nmatumbuaji...??Nimecheka sana mkuu.
Jamaa ameona upo kimyaa.
Nashangaa maana hapa nilipo PM imejaa...!!!Kwanini anapotosha umma?