Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Asigwa,chuakachara,the boss hawa watu naona walikuwa wanapost kila siku sasa wamepotea.
 
Habarini, nauliza ikiwa imetokea kwa mfano mtu amekufa na ni mwanachama mwenzetu wa Jf habari za kifo chake zitafikaje maana humu sio wote wanaojuana. Kuna wengine ID zao ni kubwa tu humu ndani ila hawajawahi kukutana na mwana Jf.. Mwisho nawaulizia hawa watu mbona siku nyingi sijawaona
Miss chaga
Watu8
Na wengineo wengi tu
Watu8 aliteuliwa Ukuu wa Mkoa kwenye mkoa Fulani hivi .
Majukumu yamemzidi
 
Muxar hakupotosha umma bali mngemuuliza ni Kabanga yupi au huyu wetu wa jf? maana huenda ana ndg,jamaa au rafiki aitwae Kabanga sasa kwanin asimtakie pumziko la milele kwa mfano yaani.ILA MUXAR........uwe unafafanua aiseee
 
Mimi kwanza nilishauri majina yawe halisi,pili sura za watu ziwe halisi, ili jamvi hili lisiwe kama ni la watu wanaofanya mambo kificho, ikiwa hivo tutafahamiana, lakini kujua eti D.A.M. kafa wakati hakuna sura yake wala majina yake halisi hata haina maana,
Zaidi itakuwa na maana tu kwa watu waliomkalili kutokana na sababu fulani, jambo ambalo tayali linaonesha kutokuwa na ushirikiano wenye maana ya "wana jf" mtu usiyemfahamu sura, majina, wala historia, kifo chake hakiwezi kuwa na uzito kwako hata kama Utaandika "R.I.P."
 
Back
Top Bottom