Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Alikuwepo MTU mmoja anaitwa Acid sijui yuko wapi siku hizi...I miss the member!! Huenda yupo hai ila kaamua kuachana na JF.
 
Habari zenu wakuu najua katika maisha ya Binadamu kuna mambo matatu ambayo kila mtu lazima ayapitie
1.Kuzaliwa
2.Kukuwa
3.Kufa

Leo naomba tuwaombee wapumzike kwa amani huko walipo kwa kuandika ID yake kisha neno RIP.
Naanza na Ndugu yetu Kipenzi mchangiaji mkuu
mr Guru R.I.P Mbele yako nyuma yetu mungu ailaze roho yako mahari pema pepon Amen
 
Jamani mwenzenu sijui Adm anakaa wapi maan cjui yupo mmoja au ni team ya watu,au huwa ni computer inayo control humu, tupeane ubuyu,maana ukidanya,ukiandika nje ya maadili wanajua hata kama ni usiku wa manane,Ila hatuonani kama North Korea na South Korea,huenda jiwe nae yumo humu
 
Back
Top Bottom