Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Ukijiona umzima wa afya na unapumua mshukuru mola wako! Kifo ni fumbo na siri kubwa, umauti unapofika na roho ikauacha mwili.

Jitahidi sana kutafakari yale yote unayoyatenda katika Dunia hii. Kila baya litalipwa na kila nafsi itaonja umauti. Unapojiona unapumua sikwamba wewe ni mnyoofu sana la hasha Mungu amekupatia hiyo nafasi kwa kudra zake, hivyo basi tusiache kuwaombea marehemu wote na kuwatakia kheri.

Tumewapoteza members wetu wengi wa JF wengine tunataarifa zao na wengine hatuna taarifa zao ila walishatangulia mbele za haki. Basi tusiache kuwakumbuka, kuwaombea na kuenzi yale mema yao yote hapa jukwaani na kuutambua mchango wao!

Inna lillahi wa inna llayhi Raaji'oon

Innal lazeena aamanoo wa ‘amilus saalihaati kaanat lahum Jannaatul Firdawsi nuzulaa
Tumewapoteza members wetu wengi wa JF wengine tunataarifa zao na wengine hatuna taarifa zao ila walishatangulia mbele za haki. Basi tusiache kuwakumbuka, kuwaombea na kuenzi yale mema yao yote hapa jukwaani na kuutambua mchango wao!
giphy.gif
 
Since last year,acha kabisa,Mungu amuweke rehmani,nilienda kumsindikiza Muhimbili wakiwa wanaelekea kwao Mbeya kupeleka mwili wake[emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji22][emoji29]
Dah warumi, niliumia kweli, ingawa sijawahi kumjua, ila thread zake zilinifurahisha Sana.

Wengine tusiojulikana wala kutambulika kwa michango yetu humu, siku tukiondoka hamna atakae jua hata [emoji25].

Will forever miss you warumi
 
Since last year,acha kabisa,Mungu amuweke rehmani,nilienda kumsindikiza Muhimbili wakiwa wanaelekea kwao Mbeya kupeleka mwili wake[emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji22][emoji29]
Kwa mara nyingine tena, poleni sana.

Sikuwa nafahamu kwa kweli, hizi taarifa nimezisikia jana kwa mara ya kwanza kwenye Uzi huu.

Pumzi hizi sio kitu, basi tu huwa tunajisahau
 
Kwa mara nyingine tena, poleni sana.

Sikuwa nafahamu kwa kweli, hizi taarifa nimezisikia jana kwa mara ya kwanza kwenye Uzi huu.

Pumzi hizi sio kitu, basi tu huwa tunajisahau
Tushapoa ndugu
Ndo hvyo he has gone forever
Alikua mdogo Sana at the age of 30 nadhani ndo ameondoka[emoji853][emoji22][emoji22][emoji22]Figo ndo ilimuondoa
 
Back
Top Bottom