Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

Umezitaja za Italian ambazo makombe ya kimataifa wayasahau
Umeonesha kuwa umezaliwa miaka ya juzi juzi au pengine umeanza kufatilia mpira juzi juzi tu.
Ac Milan ina ubingwa wa champions league mara 7 nyuma ya Real Madrid.
Ina club world cup 1

2) Inter Milan ina champions league mara3 na club world cup 1
 
Tumeandika hadi tumechoka, Kuna rafiki yangu mmoja mzungu aliniambia akili za WanaSimba na Yanga ndio akili halisi ya Mtanzania
 
Unajiita msomi halafu hapo hapo ni mfia dini!
 
Taja timu moja yenye maendeleo duniani ambao wana outsource ya uwanja
Kwani Simba na Yanga zina maendeleo duniani? Hizi timu zina maendeleo hapa Tanzania tuu huko duniani hazina maendeleo yoyote.
Hivyo si sawa kuzilinganisha na timu zenye maendeleo duniani. Hata wakiwa hawana viwanja ni sawa tuu kwanza viwanja vyote ni vya CCM na hawana timu yoyote.
Sijasikia Republican wanamiliki viwanja vya michezo nchi nzima huko USA.
 
Hao AC Milan na Inter Milan kila mmoja ana training ground yake zaidi ya Chamazi. Hakuna timu ya maana ambayo haina uwanja wa kisasa bila kujali ni wa mechi au training.
Mleta uzi kazungumzia training ground ama uwanja kwaajili ya mechi?
 
Mleta uzi kazungumzia training ground ama uwanja kwaajili ya mechi?
Wakati mnajifariji Kwenye hamna Kwa kujifananisha na AC Milan na Inter nimewapa vile ambavyo wanamiliki ili mjifananishe pia. Kwa uchumi WA yanga na Simba hizo training ground za AC Milan na Inter zinafaa kuwa za mechi. Sasa unaanzaje kujifananisha na hao wakati hata pa kufanyia mazoezi panapoeleweka huna .
 
Kuwa na uwanja sio ndio kuwa na mafanikio, kuna timu ngapi zina uwanja na hazina mafanikio yoyote? Hao Azam wana uwanja wao lakini tokea imeanzishwa wana kipi cha maana?
 
Yanga simba wanachama mambumbuu, wakipigiwa chenga tu uwanjani wanaona ndio mafanikio yao
Mbumbumbu unaanzia kwako unayesema dini yako imekataza maswala ya mpira halafu unakuja hapa kuuchambua mpira.
 
Kuwa na uwanja sio ndio kuwa na mafanikio, kuna timu ngapi zina uwanja na hazina mafanikio yoyote? Hao Azam wana uwanja wao lakini tokea imeanzishwa wana kipi cha maana?
Kuwa na makombe halafu hayakubadilishi kiuchumi hayo ni mafanikio kiduchu Sana.Mafanikio ndani ya uwanja yanatakiwa yaende sambamba na mafanikio nje ya uwanja (yaani miundombinu, uwekezaji) . Kwa hiyo ukifikiri vizuri utawaona Azam wana mafanikio kwenye miundombinu na hao wengine wana mafanikio ndani ya uwanja, lakini timu kubwa yoyote itataka kuwa na hivyo vyote.
 
Unadhani Ac Milan na Inter Milan wanashea uwanja kwavile uchumi wao upo chini? Au ni maamuzi yao na vipaumbele vyao wameona kuwa na uwanja hakuna faida kwao kwasasa? Ukiangalia profile ya vilabu utakuta wameandika mataji na hiyo ndio furaha kubwa ya waanzilishi wa hivyo vilabu na mashabiki wake. Kuwa na uwanja bila huku hubebi makombe ni sawa na bure.
 
Na ndege zao,na viwanda vya kutengeneza jersey, and other sportskits na wamiliki wanawake wao wa kuwazalia watoto wa kuja kua wachezaji wao badala ya kutegemea wachezaji wa kununua.
 
Uislam unakataza mpira
 
Kwani kujenga uwanja wa kuchukua mashabiki 40,000/30,000 ni shilingi ngapi? Tuanzie hapa kwanza tuone kama uwezo upo Kwa hizi timu
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 

Attachments

  • JamiiForums-31645776.jpeg
    209.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…