Anaondoka kila mtu halafu mnashinda Uchaguzi Mkuu ukiwa huru na haki! Ahahahahaha!Uzuri mamluki wanajiondoa wenyewe wala uongozi wa CDM hauna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwabaini mamluki.
Lisu na Heche washikilie hapo hapo hadi nguchiro wote watoke mashimoni walikojificha.
Mimi sikuwa mwanachama wa cdm sasa naitafuta kadi yakeUzuri mamluki wanajiondoa wenyewe wala uongozi wa CDM hauna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwabaini mamluki.
Lisu na Heche washikilie hapo hapo hadi nguchiro wote watoke mashimoni walikojificha.
hata ndani ya mwezi mmoja inawezekanaWatu wako kwenye chama zaidi ya miaka 20, waje kuwa mamluki ndani ya uongozi wa miezi 6 ya Lissu?!!
Umoja ni nguvu. Na dhambi ya ubaguzi hainaga mwishoWakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.
Umamluki hauna umri..hata wajinga huzeeka.Watu wako kwenye chama zaidi ya miaka 20, waje kuwa mamluki ndani ya uongozi wa miezi 6 ya Lissu?!!
Sio unachangamsha Akili!Ulanzi ni hatari kwa afya ya akili
Nakuunga mkono!Hoja mfu kabisa.
Wapo watu wako tayari ku finance chama hata ruzuku isipokuwepo.
Waliokuwa wanategemea ruzuku ndiyo hao wameanza kuchanja mbuga wenyewe ili chama kibaki na watu safi.
Mimi sio mfuasi wa vyama vyenu ila inapotokea jambo la kuzungumza ukweli basi huwa nasema kwasababu binadam wote tunastahili haki na uhuru sawa bila upendeleo.
Muda ndo huu,Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.
Wakiondoka watu 55 wapo wanaoingia zaidi ya maelfu maana vijana wengi sasahivi wamechoshwa na sanaa na hadaa za watawala.Anaondoka kila mtu halafu mnashinda Uchaguzi Mkuu ukiwa huru na haki! Ahahahahaha!
Hii sayansi ni ya kipekee duniani!
Yesu alikesha anaomba usiku kucha apate wanafunzi 12 waaminifu,Watu wako kwenye chama zaidi ya miaka 20, waje kuwa mamluki ndani ya uongozi wa miezi 6 ya ww Lissu?!!