PreGE2025 Wanachama wengine wa CHADEMA wakiongozwa na Katibu wa G55 Edward Kinabo watangaza kujivua Uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi haya mabwege nani kayadanganya kwamba ya influence yoyote hapa bongo?...
Hawa lazima ni vichaa...
Kwanza huyu lofa ndio namsikia leo...
Kama Rais mwenyewe anaimbwa kila kona na matamasha kibao, bado vikundi lukuki vya akina mengele na bado watu hawaelewi itakuwa hawa mabwege?....
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.

Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe
​
"Kauli zilizotolewa jana na Makamu Mwenyekiti John Heche, Mheshimiwa Heche alisema uongo kwa kusema kwamba eti viongozi wa Sekretariati waliojivua uanachama, kwamba hawajawahi kuchaguliwa katika nafasi yoyote ndani ya chama hichi. Mheshimiwa Heche alienda mbali na kujisifia kuwa yeye alichaguliwa na alianza kuwa diwani lakini waliozungumza juzi hata mmoja hawakuwahi kuaminiwa wala kuchaguliwa.

Huo ni uongo mkubwa sana wa Makamu Mwenyekiti kwa lengo tu la kueneza chuki na mpasuko na dharau dhidi ya kundi ambalo lilikuwa linampinga katika Uchaguzi

Mimi ambaye pia nilikuwa ni mgombea Urais wa CHADEMA kwenye jimbo la Kibaha Vijijini kwenye Uchaguzi wa 2020 napenda kutangaza rasmi kwamba nimeamua kwa uamuzi wangu mwenyewe kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia leo"

"Watu wote tuliomuunga mkono Mheshimiwa Mbowe ndani ya CHADEMA hatuna chetu tena. Tunanyanyaswa, tunabaguliwa, tunazushiwa uongo, tunaitwa wasaliti, tunaitwa waasi, kanda zimegawanyika, mikoa imegawanyika, kata zimegawanyika, hakuna chama tena hapa"

Asisahau kuutoa na ubongo,ili ahamie kwa wale wasiouhitaji ubongo.
 
Kwa kua hamtashiriki Uchaguzi subirini ruzuku ikate, ndipo mtakapojua ukubwa wa Chadema au kulishana upepo tu.
Wachagga na Wameru ndio wanaofix Finance Gap la Chama kujalizia ruzuku.
Nyaturu, Gita , Sukuma na Nyakyusa ni kelele tu.
Naona sahivi hao wachaga na wameru ndiyo wanaondoka kwa kasi kweli,
Anyway...itafahamika
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.

Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe
​
"Kauli zilizotolewa jana na Makamu Mwenyekiti John Heche, Mheshimiwa Heche alisema uongo kwa kusema kwamba eti viongozi wa Sekretariati waliojivua uanachama, kwamba hawajawahi kuchaguliwa katika nafasi yoyote ndani ya chama hichi. Mheshimiwa Heche alienda mbali na kujisifia kuwa yeye alichaguliwa na alianza kuwa diwani lakini waliozungumza juzi hata mmoja hawakuwahi kuaminiwa wala kuchaguliwa.

Huo ni uongo mkubwa sana wa Makamu Mwenyekiti kwa lengo tu la kueneza chuki na mpasuko na dharau dhidi ya kundi ambalo lilikuwa linampinga katika Uchaguzi

Mimi ambaye pia nilikuwa ni mgombea Urais wa CHADEMA kwenye jimbo la Kibaha Vijijini kwenye Uchaguzi wa 2020 napenda kutangaza rasmi kwamba nimeamua kwa uamuzi wangu mwenyewe kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia leo"

"Watu wote tuliomuunga mkono Mheshimiwa Mbowe ndani ya CHADEMA hatuna chetu tena. Tunanyanyaswa, tunabaguliwa, tunazushiwa uongo, tunaitwa wasaliti, tunaitwa waasi, kanda zimegawanyika, mikoa imegawanyika, kata zimegawanyika, hakuna chama tena hapa"

Huo mnaziiiiiii
Unakatikaaaaa!
Hiyo saccos inabomokaaaa!
Bomobobomo bomokaaaaaa!
 
For sure chadema itabaki na malofa tu ambao hawana maono hata ya kugundua chama chao ni saccos au taasisi ya kuomba omba uchangiwa pesa za matumizi ya whisky na nyama 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
chadema nao sasa walikuwa km ccm aliyoisema Mwl. sifa ya kuwa "kokoro" hiki ni kifaa cha uvuvi, sifa yake mbaya..kinavua si samaki tu na takataka nyingi, na pengine unaweza kuta samaki ni wawili tu vingine vyote ulivyovua ni takataka..mtu anaona sifa kuwa anatoka si peke yake yaani anafurahia kuondoka chadema wakiwa wengi..! mtu wa mageuzi hawezi kuwa hivyo..hata km alikuwa naibu katibu taifa chadema kwa kusema hivyo tu huyo hakuwa mwanachadema..!
 
Ana waambia wananchi wa Tanzania au wa Kibaha vijijini alikogombea urais?

Maana mie sijawahi kuona wala kumsikia rais wa jambo hapa Tanzania, au Evarist ni diaspora anatokea jambo la Minnesota huko Marekani?
 
Kwan kujivua uanachama ni deal? Waache kujipa umuhimu kwenye mambo yasiyowahusu kama ww umeona huelewan na wenzako kaa pembeni tu .
 
For sure chadema itabaki na malofa tu ambao hawana maono hata ya kugundua chama chao ni saccos au taasisi ya kuomba omba uchangiwa pesa za matumizi ya whisky na nyama 🐒
Ingekuwa Lisu na Heche wanataka hela ya whiskey na nyama choma kama unavyodhani, wangezipata za kula, kunywa na kila aina ya starehe hadi mwisho wa maisha yao kwasababu upande ule wapo tayari kuweka dau lolote ili tu wanyamaze wasiwatetee wananchi wa hali ya chini mliowageuza mazuzu.
 
ni walevi sana hao na huwa haziwatoshi,
kumbuka hawana ajira pia 🐒
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.

Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe
​
"Kauli zilizotolewa jana na Makamu Mwenyekiti John Heche, Mheshimiwa Heche alisema uongo kwa kusema kwamba eti viongozi wa Sekretariati waliojivua uanachama, kwamba hawajawahi kuchaguliwa katika nafasi yoyote ndani ya chama hichi. Mheshimiwa Heche alienda mbali na kujisifia kuwa yeye alichaguliwa na alianza kuwa diwani lakini waliozungumza juzi hata mmoja hawakuwahi kuaminiwa wala kuchaguliwa.

Huo ni uongo mkubwa sana wa Makamu Mwenyekiti kwa lengo tu la kueneza chuki na mpasuko na dharau dhidi ya kundi ambalo lilikuwa linampinga katika Uchaguzi

Mimi ambaye pia nilikuwa ni mgombea Urais wa CHADEMA kwenye jimbo la Kibaha Vijijini kwenye Uchaguzi wa 2020 napenda kutangaza rasmi kwamba nimeamua kwa uamuzi wangu mwenyewe kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia leo"

"Watu wote tuliomuunga mkono Mheshimiwa Mbowe ndani ya CHADEMA hatuna chetu tena. Tunanyanyaswa, tunabaguliwa, tunazushiwa uongo, tunaitwa wasaliti, tunaitwa waasi, kanda zimegawanyika, mikoa imegawanyika, kata zimegawanyika, hakuna chama tena hapa"

Elia Evarist - Kada wa CHADEMA, Mjumbe Mkutano Mkuu CHADEMA Temeke

"Ndani ya CHADEMA sasa hivi ukihoji unapewa mateso na mabezo, viongozi wakuu wanaona tunavyotukanwa na anavyotukanwa Mwenyekiti mstaafu Mbowe na nimeshangaa jana kuona Katibu Mkuu wa chama anatweet ambayo tafsiri yake inalenga kupoza joto hili na sio vingine"

"Kauli yake ni kinafiki kwa sababu kama angekuwa yuko fair angeweza kuwa ameshatoa tamko mapema sana la kulaani na kupinga matusi anayotukanwa Mwenyekiti mstaafu"

"Nachukua nafasi hii kuwaambiwa wananchi wa Tanzania, ninaona CHADEMA kwa sasa sio jukwaa salama na rafiki kwa kuweza kunifanya mimi kuendelea kupigania haki yao, sio jukwaa sahihi kabisa. Ninauvua Uanachama wa CHADEMA na nafasi zangu zote nilizokuwa nazo na roho inaniuma sana kuondoka lakini no way out"

Wamechelewa sana kuondoka wangeorodhesha majina yao kwapamoja nakusaini waende wakakipambanie chama chao kipya sio kutondoka mmoja mmoja sisi tupo busy na No reform No election ground inepokelewa kwa wivu mkubwa na wao waje na ya kwao kwenye chama chao tushindane ground sio wakati wamaneno mengi
 
ni walevi sana hao na huwa haziwatoshi,
kumbuka hawana ajira pia 🐒
Lisu ni wakili msomi akisema ajikite kwenye taaluma yake kisawasawa basi atatafutwa na wateja tena wenye mkwanja mrefu ili awahudumie masuala ya kisheria.

Mwanasheria nguli kama Lissu sidhani kama atakubali hata kushika kesi ya chini ya milioni 20.😆

Uzuri ukishakuwa mwanasheria mzuri unaweza kujipangia kesi za kushika labda zianzie milioni 50 kwenda juu kitu ambacho kwa Lisu inawezekana kabisa kwa namna alivyoiva kwenye taaluma yake.
 
Back
Top Bottom