PreGE2025 Wanachama wengine wa CHADEMA wakiongozwa na Katibu wa G55 Edward Kinabo watangaza kujivua Uanachama

PreGE2025 Wanachama wengine wa CHADEMA wakiongozwa na Katibu wa G55 Edward Kinabo watangaza kujivua Uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nyumba isafishwe ondoa hata wale waoga wa No reform no election, asibaki hata mmoja.......WanaCDM na Watanzania kwa ujumla wetu tumeshajua hiyo movie.
Lissu alishasema hakuna atakayelazimishwa...mungu amlinde Sana lissuuu
 
Pole sana Edward.
Lissu na Heche hawafai kuwa viongozi hata wa familia zao.
Kweli kabisa unategemea Lissu na Heche wawe na busara?!! walopokaji, wabaguzi!!!!
Wanachadema wameamua ndo wawe viongozi wao pole
 
Hivi haya mabwege nani kayadanganya kwamba ya influence yoyote hapa bongo?...
Hawa lazima ni vichaa...
Kwanza huyu lofa ndio namsikia leo...
Kama Rais mwenyewe anaimbwa kila kona na matamasha kibao, bado vikundi lukuki vya akina mengele na bado watu hawaelewi itakuwa hawa mabwege?....
Lissu ameikomboa Sana chadema, baada ya haya itaamimika Sana kote nchini
 
Inaleta matumaini matapeli wakiondoka kwenda kwenye vyama vya kitapeli wakafanye udalali huko

Chadema shikilieni hapo hapo.

No reforms no election

Say NO to Njaa55.
 
Kwa kua hamtashiriki Uchaguzi subirini ruzuku ikate, ndipo mtakapojua ukubwa wa Chadema au kulishana upepo tu.
Wachagga na Wameru ndio wanaofix Finance Gap la Chama kujalizia ruzuku.
Nyaturu, Gita , Sukuma na Nyakyusa ni kelele tu.
Chadema ni sio chama cha wameru au wachaga.

Zile milioni 70 alizochangiwa Mbowe asifungwe zilitoka kwa wachaga na wameru?

Zile milioni 300+ ndani ya saa 24 zilizochangwa na wananchi viongozi wengine wa Chadema wasifungwe zilitoka kwa wachaga na wameru?

Chama kitajengwa na wananchi na watakisimamia na ndii chama pekee kilichobeba matumaini ya wanachi kuelekea second liberation dhidi ya mkoloni mweusi .
 
Hilo lilijulikana kwa sababu hata Mbowe angeshinda wengi tusingebaki CHADEMA. Bora alishinda Lissu, wachache hawatabaki CHADEMA.
 
Leave CDM alone, hii inaweza kuifanya CDM kuwa strong zaidi.

Wangekuwa waelevu wenye uelewa, tulipaswa kuwaona wakiendelea kussuport CDM iwe strong zaidi na sio kulazimisha wanachoamini wao basi ndio kifanye kazi, Mbona Lissu na Heche hawakumlazimisha MBOWE kuziishi fikra zao?.
Ombea lissu atoke gerezani, chadema itakuwa imara zaidi ya sasa, watu walikuwa wanaiona chadema kama kikoba wakati wa mbowe....
 
For sure chadema itabaki na malofa tu ambao hawana maono hata ya kugundua chama chao ni saccos au taasisi ya kuomba omba uchangiwa pesa za matumizi ya whisky na nyama 🐒
Saccoss ilikuwa kipindi kile, Leo Kila mtu ana nafasi kwenye chama hiki...
 
Back
Top Bottom