PreGE2025 Wanachama wengine wa CHADEMA wakiongozwa na Katibu wa G55 Edward Kinabo watangaza kujivua Uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.

Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe
​
"Kauli zilizotolewa jana na Makamu Mwenyekiti John Heche, Mheshimiwa Heche alisema uongo kwa kusema kwamba eti viongozi wa Sekretariati waliojivua uanachama, kwamba hawajawahi kuchaguliwa katika nafasi yoyote ndani ya chama hichi. Mheshimiwa Heche alienda mbali na kujisifia kuwa yeye alichaguliwa na alianza kuwa diwani lakini waliozungumza juzi hata mmoja hawakuwahi kuaminiwa wala kuchaguliwa.

Huo ni uongo mkubwa sana wa Makamu Mwenyekiti kwa lengo tu la kueneza chuki na mpasuko na dharau dhidi ya kundi ambalo lilikuwa linampinga katika Uchaguzi

Mimi ambaye pia nilikuwa ni mgombea Urais wa CHADEMA kwenye jimbo la Kibaha Vijijini kwenye Uchaguzi wa 2020 napenda kutangaza rasmi kwamba nimeamua kwa uamuzi wangu mwenyewe kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia leo"

"Watu wote tuliomuunga mkono Mheshimiwa Mbowe ndani ya CHADEMA hatuna chetu tena. Tunanyanyaswa, tunabaguliwa, tunazushiwa uongo, tunaitwa wasaliti, tunaitwa waasi, kanda zimegawanyika, mikoa imegawanyika, kata zimegawanyika, hakuna chama tena hapa"

Elia Evarist - Kada wa CHADEMA, Mjumbe Mkutano Mkuu CHADEMA Temeke

"Ndani ya CHADEMA sasa hivi ukihoji unapewa mateso na mabezo, viongozi wakuu wanaona tunavyotukanwa na anavyotukanwa Mwenyekiti mstaafu Mbowe na nimeshangaa jana kuona Katibu Mkuu wa chama anatweet ambayo tafsiri yake inalenga kupoza joto hili na sio vingine"

"Kauli yake ni kinafiki kwa sababu kama angekuwa yuko fair angeweza kuwa ameshatoa tamko mapema sana la kulaani na kupinga matusi anayotukanwa Mwenyekiti mstaafu"

"Nachukua nafasi hii kuwaambiwa wananchi wa Tanzania, ninaona CHADEMA kwa sasa sio jukwaa salama na rafiki kwa kuweza kunifanya mimi kuendelea kupigania haki yao, sio jukwaa sahihi kabisa. Ninauvua Uanachama wa CHADEMA na nafasi zangu zote nilizokuwa nazo na roho inaniuma sana kuondoka lakini no way out"

Sawa tu
 
Wamechelewa sana kuondoka wangeorodhesha majina yao kwapamoja nakusaini waende wakakipambanie chama chao kipya sio kutondoka mmoja mmoja sisi tupo busy na No reform No election ground inepokelewa kwa wivu mkubwa na wao waje na ya kwao kwenye chama chao tushindane ground sio wakati wamaneno mengi
Wanatafuta malisho yenye rangi ya kijani, (green pastures)
 
Lisu ni wakili msomi akisema ajikite kwenye taaluma yake kisawasawa basi atatafutwa na wateja tena wenye mkwanja mrefu ili awahudumie masuala ya kisheria.

Mwanasheria nguli kama Lissu sidhani kama atakubali hata kushika kesi ya chini ya milioni 20.😆

Uzuri ukishakuwa mwanasheria mzuri unaweza kujipangia kesi za kushika labda zianzie milioni 50 kwenda juu kitu ambacho kwa Lisu inawezekana kabisa kwa namna alivyoiva kwenye taaluma yake.
wakili msomi mropokaji asie na ajira?labda asimamie kesi za malofa 🤣

kutwa kupitisha bakuli apate pocket money, ndezi sana aise dah 🐒
 
Ni lofa pekee anayeamini Lisu anaweza kuwa na njaa ndogo ndogo kama za kwako mkuu.

Wewe ulifika bei kipindi cha jiwe kwa vijisenti kiduchu mno lakini huyo unayesema ana njaa hawekewi vijisenti bali mzigo mrefu lakini kamwe hatanunulika.

Huoni sasa imebidi itumike njia ya mabavu kumdhibiti baada ya njia zenu za mchongo kufeli?
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.

Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe
​
"Kauli zilizotolewa jana na Makamu Mwenyekiti John Heche, Mheshimiwa Heche alisema uongo kwa kusema kwamba eti viongozi wa Sekretariati waliojivua uanachama, kwamba hawajawahi kuchaguliwa katika nafasi yoyote ndani ya chama hichi. Mheshimiwa Heche alienda mbali na kujisifia kuwa yeye alichaguliwa na alianza kuwa diwani lakini waliozungumza juzi hata mmoja hawakuwahi kuaminiwa wala kuchaguliwa.

Huo ni uongo mkubwa sana wa Makamu Mwenyekiti kwa lengo tu la kueneza chuki na mpasuko na dharau dhidi ya kundi ambalo lilikuwa linampinga katika Uchaguzi

Mimi ambaye pia nilikuwa ni mgombea Urais wa CHADEMA kwenye jimbo la Kibaha Vijijini kwenye Uchaguzi wa 2020 napenda kutangaza rasmi kwamba nimeamua kwa uamuzi wangu mwenyewe kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia leo"

"Watu wote tuliomuunga mkono Mheshimiwa Mbowe ndani ya CHADEMA hatuna chetu tena. Tunanyanyaswa, tunabaguliwa, tunazushiwa uongo, tunaitwa wasaliti, tunaitwa waasi, kanda zimegawanyika, mikoa imegawanyika, kata zimegawanyika, hakuna chama tena hapa"

Elia Evarist - Kada wa CHADEMA, Mjumbe Mkutano Mkuu CHADEMA Temeke

"Ndani ya CHADEMA sasa hivi ukihoji unapewa mateso na mabezo, viongozi wakuu wanaona tunavyotukanwa na anavyotukanwa Mwenyekiti mstaafu Mbowe na nimeshangaa jana kuona Katibu Mkuu wa chama anatweet ambayo tafsiri yake inalenga kupoza joto hili na sio vingine"

"Kauli yake ni kinafiki kwa sababu kama angekuwa yuko fair angeweza kuwa ameshatoa tamko mapema sana la kulaani na kupinga matusi anayotukanwa Mwenyekiti mstaafu"

"Nachukua nafasi hii kuwaambiwa wananchi wa Tanzania, ninaona CHADEMA kwa sasa sio jukwaa salama na rafiki kwa kuweza kunifanya mimi kuendelea kupigania haki yao, sio jukwaa sahihi kabisa. Ninauvua Uanachama wa CHADEMA na nafasi zangu zote nilizokuwa nazo na roho inaniuma sana kuondoka lakini no way out"

Hawamkomoi mtu bali wenyewe nani atakayewaunga mkono hakuna Mwanachadema yeyote atakayewaunga mkono sisi Chadema kwanza watu baadaye hata Lissu akiondoka aende hatufagilii mtu.
 
Hawa waende, CDM ipo kitaifa zaidi kwa sasa, ni mjinga pekee anaweza kubeza hoja za CDM kwa sasa - hii ya Reforms inamgusa kila mtanganyika bila kujadi dini rangi wala itikadi.

Uchaguzi wa Tanzania haujawahi kuwa na thamani yoyote ile, yaani uakwenda kupiga kura huku ukijua fika mshindi ni nani, akili ama matope.

Ni CDM pekee imejitolea kuipeleka hii agenda kwa wananchi na wanachi nao kwa ujumla wameipokea na kuielewa vizuri mno.

Sasa jiulizeni vyama vingine vyote vina hoja gani? Vingine vinasema uchaguzi huwa ni huru na viko tayari kushindana na CCM.

CDM Mungu akubariki sana ..unatosha!! Poleni makada wa CDM mnaopitia shuruba nyingi - watanganyika hawana cha kuwalipa kwa sasa - jukumu lao wameapa kuwaunga mkono.
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.

Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe
​
"Kauli zilizotolewa jana na Makamu Mwenyekiti John Heche, Mheshimiwa Heche alisema uongo kwa kusema kwamba eti viongozi wa Sekretariati waliojivua uanachama, kwamba hawajawahi kuchaguliwa katika nafasi yoyote ndani ya chama hichi. Mheshimiwa Heche alienda mbali na kujisifia kuwa yeye alichaguliwa na alianza kuwa diwani lakini waliozungumza juzi hata mmoja hawakuwahi kuaminiwa wala kuchaguliwa.

Huo ni uongo mkubwa sana wa Makamu Mwenyekiti kwa lengo tu la kueneza chuki na mpasuko na dharau dhidi ya kundi ambalo lilikuwa linampinga katika Uchaguzi

Mimi ambaye pia nilikuwa ni mgombea Urais wa CHADEMA kwenye jimbo la Kibaha Vijijini kwenye Uchaguzi wa 2020 napenda kutangaza rasmi kwamba nimeamua kwa uamuzi wangu mwenyewe kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia leo"

"Watu wote tuliomuunga mkono Mheshimiwa Mbowe ndani ya CHADEMA hatuna chetu tena. Tunanyanyaswa, tunabaguliwa, tunazushiwa uongo, tunaitwa wasaliti, tunaitwa waasi, kanda zimegawanyika, mikoa imegawanyika, kata zimegawanyika, hakuna chama tena hapa"

Elia Evarist - Kada wa CHADEMA, Mjumbe Mkutano Mkuu CHADEMA Temeke

"Ndani ya CHADEMA sasa hivi ukihoji unapewa mateso na mabezo, viongozi wakuu wanaona tunavyotukanwa na anavyotukanwa Mwenyekiti mstaafu Mbowe na nimeshangaa jana kuona Katibu Mkuu wa chama anatweet ambayo tafsiri yake inalenga kupoza joto hili na sio vingine"

"Kauli yake ni kinafiki kwa sababu kama angekuwa yuko fair angeweza kuwa ameshatoa tamko mapema sana la kulaani na kupinga matusi anayotukanwa Mwenyekiti mstaafu"

"Nachukua nafasi hii kuwaambiwa wananchi wa Tanzania, ninaona CHADEMA kwa sasa sio jukwaa salama na rafiki kwa kuweza kunifanya mimi kuendelea kupigania haki yao, sio jukwaa sahihi kabisa. Ninauvua Uanachama wa CHADEMA na nafasi zangu zote nilizokuwa nazo na roho inaniuma sana kuondoka lakini no way out"

Hayo ni mapandikizi ya mbowe yenye uchu wa madaraka na fedha.
 
Wakiondoka watu 55 wapo wanaoingia zaidi ya maelfu maana vijana wengi sasahivi wamechoshwa na sanaa na hadaa za watawala.

Ingekuwa chama kinakufa kwa baadhi ya wanachama wake kuhama basi kipindi cha Jiwe CDM ingekufa maana waliokuwa wanahama ili 'kuunga juhudi' walikuwa kwa mamia tena wazito lakini chama kimeendelea ku exist kikiwa imara zaidi.

Muwe mnafanya tafiti ndogo ndogo mitandaoni muone maoni ya watu yanaegemea wapi.

Jaribu kuweka hata ka- online poll kati ya watu wawili unaoamini wana ushindani halafu uone yupi ataongoza.
Wakati Dola ya Rumi inaanguka watawala walikuwa wanasema hivyo hivyo. Wakiambiwa sehemu fulani imeshambuliwa imechukuliwa na adui, Warumi walisema , "hajui Rumi ni Dola kubwa. Subiri". Mwisho wa siku wamekuja kutahamaki, hakunatm Dola ya Rumi.
Lakini, yote kwa yote, muda ni mwalimu mzuri!
 
Ni vizuri mamluki, mapandikizi, wachumia tumbo, wanafiki, wabinafsi, na wale wote wasio kubaliana na sera mpya ya chama wakaondoka, na hivyo kuwaacha wale tu ambao wako tayari kuijenga CHADEMA Mpya.
Siasa zenu za chuki, visasi, wivu , roho mbaya HAZITAWAFIKISHA POPOTE. Yeyote atumiaye njia ovu UANGUKA hatimaye. Muda ni mwalimu mzuri!
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri.

Edward Kinabo - Aliyekuwa Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa kampeni za Freeman Mbowe
​
"Kauli zilizotolewa jana na Makamu Mwenyekiti John Heche, Mheshimiwa Heche alisema uongo kwa kusema kwamba eti viongozi wa Sekretariati waliojivua uanachama, kwamba hawajawahi kuchaguliwa katika nafasi yoyote ndani ya chama hichi. Mheshimiwa Heche alienda mbali na kujisifia kuwa yeye alichaguliwa na alianza kuwa diwani lakini waliozungumza juzi hata mmoja hawakuwahi kuaminiwa wala kuchaguliwa.

Huo ni uongo mkubwa sana wa Makamu Mwenyekiti kwa lengo tu la kueneza chuki na mpasuko na dharau dhidi ya kundi ambalo lilikuwa linampinga katika Uchaguzi

Mimi ambaye pia nilikuwa ni mgombea Urais wa CHADEMA kwenye jimbo la Kibaha Vijijini kwenye Uchaguzi wa 2020 napenda kutangaza rasmi kwamba nimeamua kwa uamuzi wangu mwenyewe kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia leo"

"Watu wote tuliomuunga mkono Mheshimiwa Mbowe ndani ya CHADEMA hatuna chetu tena. Tunanyanyaswa, tunabaguliwa, tunazushiwa uongo, tunaitwa wasaliti, tunaitwa waasi, kanda zimegawanyika, mikoa imegawanyika, kata zimegawanyika, hakuna chama tena hapa"

Elia Evarist - Kada wa CHADEMA, Mjumbe Mkutano Mkuu CHADEMA Temeke

"Ndani ya CHADEMA sasa hivi ukihoji unapewa mateso na mabezo, viongozi wakuu wanaona tunavyotukanwa na anavyotukanwa Mwenyekiti mstaafu Mbowe na nimeshangaa jana kuona Katibu Mkuu wa chama anatweet ambayo tafsiri yake inalenga kupoza joto hili na sio vingine"

"Kauli yake ni kinafiki kwa sababu kama angekuwa yuko fair angeweza kuwa ameshatoa tamko mapema sana la kulaani na kupinga matusi anayotukanwa Mwenyekiti mstaafu"

"Nachukua nafasi hii kuwaambiwa wananchi wa Tanzania, ninaona CHADEMA kwa sasa sio jukwaa salama na rafiki kwa kuweza kunifanya mimi kuendelea kupigania haki yao, sio jukwaa sahihi kabisa. Ninauvua Uanachama wa CHADEMA na nafasi zangu zote nilizokuwa nazo na roho inaniuma sana kuondoka lakini no way out"

Mnyika amesema nini?

Amandla...
 
Siasa zenu za chuki, visasi, wivu , roho mbaya HAZITAWAFIKIAHA POPOTE. Yeyote atumiaye njia ovu UANGUKA hatimaye. Muda ni mwalimu mzuri!
Mimi ni ccm! Ila siungi mkono uwepo wa kikundi cha watu wachache kilicho jimilikisha chama kama ilivyokuwa CHADEMA ya Mbowe! Na ccm nayo ikifanikiwa kuwaondoa mafisadi na masultani wote ndani ya chama, nitawaunga mkono.
 
Karibuni Chauma...
 
Huu ni moto wa vifuu wao wasubiri wajiunge na Chauma kama watakuwa na thamani tena nguvu ya mamba kumai
 
Uzuri mamluki wanajiondoa wenyewe wala uongozi wa CDM hauna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwabaini mamluki.

Lisu na Heche washikilie hapo hapo hadi nguchiro wote watoke mashimoni walikojificha.
Upo sahihi ccm B wote wamejiengua wenyewe
 
Nyumba isafishwe ondoa hata wale waoga wa No reform no election, asibaki hata mmoja.......WanaCDM na Watanzania kwa ujumla wetu tumeshajua hiyo movie.
Takataka shetani wanajichuja chadema ibakie safi
 
Mimi ni ccm! Ila siungi mkono uwepo wa kikundi cha watu wachache kilicho jimilikisha chama kama ilivyokuwa CHADEMA ya Mbowe! Na ccm nayo ikifanikiwa kuwaondoa mafisadi na masultani wote ndani ya chama, nitawaunga mkono.
Ccm imejimilikisha TZ 👀
 
Back
Top Bottom