Wanadasalama hizi Travolta Shoes ,nazipataje ? Niko Mkoani.

Kunae mkaka akat tuko chuo, alikua anavaa hizi travoz zilikua zinamtoaa hatariii. Na code dress alikua anapatia haswaaa.

Hizi travoz ujue na code dress yake, Co unajivalia tyuh utachekesha mtaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia, ukikosea dress code zinageuka na utaonekana umevaa rainboot ama safetyboot
 
Kunae mkaka akat tuko chuo, alikua anavaa hizi travoz zilikua zinamtoaa hatariii. Na code dress alikua anapatia haswaaa.

Hizi travoz ujue na code dress yake, Co unajivalia tyuh utachekesha mtaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo mkaka mwenyewe ndio mimi [emoji38]
 
Sipendezwi sana mnaoziita hizi travolta hizi ni boots
 
Attachments

  • Redwing iron ranger 8085.jpeg
    180.2 KB · Views: 10
  • images (22).jpeg
    22.1 KB · Views: 11
  • Thursday Boot Company _ Handcrafted with Integrity.jpeg
    90 KB · Views: 12
Kunae mkaka akat tuko chuo, alikua anavaa hizi travoz zilikua zinamtoaa hatariii. Na code dress alikua anapatia haswaaa.

Hizi travoz ujue na code dress yake, Co unajivalia tyuh utachekesha mtaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gusia basi aina ya shati na suruali..
 
Nenda kariakoo zipo za kila bei kulingana na quality unayoitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…