Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

Subiri kidogo, hivi mbona kwenye list ya wanaofanya vizuri(top ten) level zote huwa ni majina ya ki kristo kuliko kiislam?!

Hata ukiangalia ma-TO wengi huwa wana majina ya ki kristo miaka yote kwa level zote za elimu
 
Hongera Sana vijana ..! Big up tuibhoke..! Wameupiga mwingi
 
ingekuwa enzi za utawala wa marehemu, ili wamfurahishe mtukufu, katika hao kumi bora waliofaulu, wangechomeka mmoja kutoka katika wilaya inayopatikana mkoa wa geita
Shule nane kati ya kumi bora zimetoka kanda ya ziwa wakiteuliwa mnasema wanapendelewa.
Angekuwepo pia mngesema kanda pendwa imependelewa.
 
Hivi kumbe kuna watu bado wapo darasa la saba?😳😳
kwani uzao upi ni wa mwisho kabisaa, au huko duniani wameacha kuzaliana. Nipo sayari ya Mars muda huu hakuna la Saba ni Phds tu ndio wapo.
 
ingekuwa enzi za utawala wa marehemu, ili wamfurahishe mtukufu, katika hao kumi bora waliofaulu, wangechomeka mmoja kutoka katika wilaya inayopatikana mkoa wa geita

Miaka yote akiwa Madarakani mbona NECTA hawajawahi kuchomeka huyo mwanafunzi kutoka hiyo Wilaya.Mnapata faida gani kuwa waongo watu wazima na akili zenu.Uongo useme wewe aibu naona mimi.
 
Shule nane kati ya kumi bora zimetoka kanda ya ziwa wakiteuliwa mnasema wanapendelewa.
Angekuwepo pia mngesema kanda pendwa imependelewa.

Tayari kuna mwingine huko keshazomoka eti angekuwepo mwanafunzi bora angetoka Wilaya yake? Namuuliza mbona tangu 2015 NECTA hawajawahi chomeka huyo mwanafunzi?
 
Hata saivi mashuleni kwa kidato cha tano na sita utasikia madogo wanasema wanapigiwa namba na wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…