Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

Alianzisha nani?
Hiyo sheria sijui kanuni ipo siku nyingi toka awamu ya Nyerere mwanafunzi akipata ujauzito anafukuzwa shule isipokuwa miaka ya hivi karibuni wanaharakati hasa wale wanaotetea "haki" ya mtoto wa kike walikuwa wakitaka watoto wa kike wanaofukuzwa shule baada ya kupata ujauzito waruhusiwe kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua ndiyo Magufuli alikataa hilo jambo kufanyika kipindi ambacho atakuwa madarakani kama walivyokataa viongozi wengine waliopita kabla yake lakini siyo yeye aliyeanzisha sheria/kanuni hiyo.
 
Nashukuru umemjibu vema huyu mlinda legacy asiye na ufahamu.
 
Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!!

Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba .Kinga kama sindano na kijiti ni nzuri sana kwa watoto Hawa Ili angalau wasikatishe masomo kwa sababu ya kitiwa mimba .Lakini pia tuwape uhuru wa kumeza ARVs pindi wapatapo maambukizi ya ungonjwa utokanao na starehe
Hivi kumbe wanafunzi wanaliwagwa, mimi najuaga ni mabikra wote 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom