Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

Alianzisha nani?
Hiyo sheria sijui kanuni ipo siku nyingi toka awamu ya Nyerere mwanafunzi akipata ujauzito anafukuzwa shule isipokuwa miaka ya hivi karibuni wanaharakati hasa wale wanaotetea "haki" ya mtoto wa kike walikuwa wakitaka watoto wa kike wanaofukuzwa shule baada ya kupata ujauzito waruhusiwe kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua ndiyo Magufuli alikataa hilo jambo kufanyika kipindi ambacho atakuwa madarakani kama walivyokataa viongozi wengine waliopita kabla yake lakini siyo yeye aliyeanzisha sheria/kanuni hiyo.
 
Nashukuru umemjibu vema huyu mlinda legacy asiye na ufahamu.
 
Hivi kumbe wanafunzi wanaliwagwa, mimi najuaga ni mabikra wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee! Malezi ya sasa ni mtihani mzito sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…