Mwenzetu katoa ushauri katika uelewa wake,pengine saidia kuuboresha ushauri kaka ili tuwasaidie hawa watoto!Mkuu Huu ni ushauri Wa mtu aliyekula makande ya ikungu lya mbeshi,unadhani waziri ni kama kaka mkuu,kwamba unaondoka Leo siku hiyohiyo unapata appointment ya kuonana naye?
Tulikuwa na mwalimu wa nidhamu na akademiki ainaitwa Dungu m chawi wa makemia na bio huyo aliitunyoosha sana ..ukisikia Dungu anakuja unaingia uvunguni kimyaa kama pakaHata hii leo nasikia iko vzr sn,tatizo linatajwa ni staff ya shule kufail katika eneo la usimamizi wa nidhamu kwa watoto
Tatizo unaleta porojo!Brother unapokosa la kuchangia ni hekima kukaa kimya tu. Siyo lazima kila post useme neno hata pale ambapo akili yako imefika ukomo wa kuiwazia issue inayoongelewa
Great!!!Mwenzetu katoa ushauri katika uelewa wake,pengine saidia kuuboresha ushauri kaka ili tuwasaidie hawa watoto!
Duh! Mbona hatari hii jamani. Peer pressure kuideal sometime panahitajika matumizi ya hekima na busara zaidi kuliko sheria. Coz utaona kwene case hii wazazi ndiyo wanabaki na vilio zaidi.Bodi ikishapitisha adhabu kwa kufuata kanuni zilizowekwa ndio basi tena hao shule hawana. Pole yao
Kwa sasa staff imefel mno kwene nidhamu. Nasikia mwaka jana wanafunzi waliwahi kutoroka na kuandama kuelekea kwa RC usiku saa tisa na walimu bila taarifa. Yaan watoto wanatoroka shule nzima na hadi wanafika Kolandoto km 15 staff hawana taarifa.Tulikuwa na mwalimu wa nidhamu na akademiki ainaitwa Dungu m chawi wa makemia na bio huyo aliitunyoosha sana ..ukisikia Dungu anakuja unaingia uvunguni kimyaa kama paka
Nikikumbuka migomo😤🙌!Kwa sasa staff imefel mno kwene nidhamu. Nasikia mwaka jana wanafunzi waliwahi kutoroka na kuandama kuelekea kwa RC usiku saa tisa na walimu bila taarifa. Yaan watoto wanatoroka shule nzima na hadi wanafika Kolandoto km 15 staff hawana taarifa.
Hahhaaa!!!
Hao vijana waombe kufanyia mitihani yao kituo kingine hata kama ni private candidate centre kwa kutumia usajili wa shule yao. Sio sahihi kabisa hao vijana wasifanye mitihani yao, pia nafikiri wahusika wanafahamu vizuri psychology.Kuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.
Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Hahaha Mkuu umenikumbusha tulikuwa tukifunga shule tulikuwa tunatembea kutoka hapo shuleni usiku saa moja asubuhi tupo mjini Shy na mabegi duh kama jeshini ..yaani tunakutana na fisi wanakimbiaKwa sasa staff imefel mno kwene nidhamu. Nasikia mwaka jana wanafunzi waliwahi kutoroka na kuandama kuelekea kwa RC usiku saa tisa na walimu bila taarifa. Yaan watoto wanatoroka shule nzima na hadi wanafika Kolandoto km 15 staff hawana taarifa.
Hahhaaa!!!
Pengine hii ndiyo idea inaweza kuwajenga na ikawasaidia mno ktk kipindi hiki kifupi kilichosalia. Sasa hii ruhusa inaombwa na kutolewa kwa nani? Saidia mawazo kaka ili tuwajuze wakimbie nalo hiliHao vijana waombe kufanyia mitihani yao kituo kingine hata kama ni private candidate centre kwa kutumia usajili wa shule yao. Sio sahihi kabisa hao vijana wasifanye mitihani yao, pia nafikiri wahusika wanafahamu vizuri psychology.
Baraza la mitihani, kwa sababu litakuwa limekwisha wapa namba zao za mitihani. Likishafanya hivyo lazima mwanafunzi afanye mitihani.Pengine hii ndiyo idea inaweza kuwajenga na ikawasaidia mno ktk kipindi hiki kifupi kilichosalia. Sasa hii ruhusa inaombwa na kutolewa kwa nani? Saidia mawazo kaka ili tuwajuze wakimbie nalo hili
Naamini wahusika wamo humu wamesoma huu uzi na ufumbuzi UTAPATIKANA vijana wafanye Mitihani ..Jamii forum imebeba watu wengi sana muhimu na MAKINIPengine hii ndiyo idea inaweza kuwajenga na ikawasaidia mno ktk kipindi hiki kifupi kilichosalia. Sasa hii ruhusa inaombwa na kutolewa kwa nani? Saidia mawazo kaka ili tuwajuze wakimbie nalo hili
Sababu zinazotajwa ni baadhi ya walimu kuwa nyuma ya uchochezi wa hizo vurugu ingawa sidhan kuzithibitisha ni rahisi sn.Naona kifahamu sababu za kufanya fujo na kuharibu mali ya mtumishi
Sasa ndiyo weshafukuzwa na nasikia hata RC amebariki uamuzi wa bodi ya shule,wataufanyaje huo mtihani. Tuwaelekeze wakimbilie wapi ili wasaidike?Baraza la mitihani, kwa sababu litakuwa limekwisha wapa namba zao za mitihani. Likishafanya hivyo lazima mwanafunzi afanye mitihani.
Sasa ndiyo weshafukuzwa na nasikia hata RC amebariki uamuzi wa bodi ya shule,wataufanyaje huo mtihani. Tuwaelekeze wakimbilie wapi ili wasaidikeBaraza la mitihani, kwa sababu litakuwa limekwisha wapa namba zao za mitihani. Likishafanya hivyo lazima mwanafunzi afanye mitihani.
Pengine uwe ndiyo msaada pekee jamani. Unajua ukiwawazia vijana wenyewe unaona km wanafanya ujinga ule kwa sabb tu ya peer pressure ambayo always haimpi mhusika nafas ya kuwazia matokeo baada ya tukio wanaloshiriki. Lakini madhara zaidi utayakuta kwa wazazi wa watoto hawa. Wengne wamejichimba mfukoni kuwaandaa kwa gharama kubwa kupitia shule binafsi,leo mtoto kafikia hatua ambayo mzazi anawazia aanze kupumua,ghafla analetewa taarifa ya mtoto kufukuzwa shule na mbaya zaidi hadi aondolewe ktk mfumo rasmi wa elimu!!Naamini wahusika wamo humu wamesoma huu uzi na ufumbuzi UTAPATIKANA vijana wafanye Mitihani ..Jamii forum imebeba watu wengi sana muhimu na MAKINI
Kama hawajafanya jinai wananafasi ya kufanya mtihani,lakini pia Kama RC amebariki itakuwa ngumu kwa kuwa board ya rufaa ipo chini yake kwa maana makosa yaliyofanywa na wanafunzi yanastahiki kufukuzwa.Sasa ndiyo weshafukuzwa na nasikia hata RC amebariki uamuzi wa bodi ya shule,wataufanyaje huo mtihani. Tuwaelekeze wakimbilie wapi ili wasaidike?
NIMEIELEWA HII KAKA AHSANTE!Kama hawajafanya jinai wananafasi ya kufanya mtihani,lakini pia Kama RC amebariki itakuwa ngumu kwa kuwa board ya rufaa ipo chini yake kwa maana makosa yaliyofanywa na wanafunzi yanastahiki kufukuzwa.View attachment 1760079
Unajua hata uamuzi wa bodi na ambao umebarikiwa na RC ni wa hasira tu,eti kwa vile mwaka jana waliandamana na hawa form six wakiwepo (walikuwa form five),basi watoe fundisho kwa watoto wote.Kama hawajafanya jinai wananafasi ya kufanya mtihani,lakini pia Kama RC amebariki itakuwa ngumu kwa kuwa board ya rufaa ipo chini yake kwa maana makosa yaliyofanywa na wanafunzi yanastahiki kufukuzwa.View attachment 1760079