Wanafunzi Dar na Dharau kwa Wakubwa Wao

Kama alikuwa anamtukana mmama yuko kimyaa, wallah ningemkunja...serious!
Usingeweza nakwambia. Kama mtoto mdogo anamchamba mmama kwenye mbasi mkubwa sasa wewe kumkunja si angekuvua nguo akukomeshe
 
Usingeweza nakwambia. Kama mtoto mdogo anamchamba mmama kwenye mbasi mkubwa sasa wewe kumkunja si angekuvua nguo akukomeshe
Haahaa unaleta masihara...nakwambia ningemuadhiri mi najua wenye midomo, weakness yao iko wapi!
 
Ni upuuzi wa watu wazima pia. Kwani huyo mwanafunzi alikaa kwenye kiti cha wazee? Haya mambo badala ya kulaumu utaratibu wa hovyo kwenye usafiri mnamkomalia denti. Hii nchi tunaishi kama samaki, mkubwa anamwonea mdogo. BTW, kama wewe ni mzee na gari imejaa kwa nini usisubiri jingine? Mambo mengine kutafutiana lawama tu. Hakuna ambaye hajachoka tena denti ndio anahitaji kupumzika zaidi maana bado anasafari ndefu kuliko ninyi wazee.
 
Hizi ndio product za kulelewa na Ma-house girl, wangemchapa Ata vibao kdg[emoji36][emoji36][emoji36]
 
Ukichunguza vizuri utakuta mabinti kama hao walishaanza kut0m&w@ na watu wazima, kitendo kinachowafanya nao wajione wakubwa. Pumbaf zao!
 
Wakati mwingine Inabidi tuelewe haki zetu maana Kama gari imejaa mtu asipande kutegemea atapata siti ya mwanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…