Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unapata dhambi
Haahaa unaleta masihara...nakwambia ningemuadhiri mi najua wenye midomo, weakness yao iko wapi!Usingeweza nakwambia. Kama mtoto mdogo anamchamba mmama kwenye mbasi mkubwa sasa wewe kumkunja si angekuvua nguo akukomeshe
ukizubaa utachekwa uzeeniHaaahaaa...umeogopaa?
Sure sureukizubaa utachekwa uzeeni
Mlikosea sana na ilitakiwa mumuwajibisheHaki mimi nilipigwa na mshtuko kwamba anajiamini nini. Kuja kurudiwa akili ni alivyoshuka wengine walipoanza kumsema huyo mtoto
Nilishachukuliwa rb kwa kosa lakumpiga kofi mtoto wa mtu..Mlikosea sana na ilitakiwa mumuwajibishe
Solution ilikua siyo kumpiga bali ni wote abiria kumkemea uyo bintiNilishachukuliwa rb kwa kosa lakumpiga kofi mtoto wa mtu..
Ukichunguza vizuri utakuta mabinti kama hao walishaanza kut0m&w@ na watu wazima, kitendo kinachowafanya nao wajione wakubwa. Pumbaf zao!Leo kwenye daladala kuna mama alimwambia mwanafunzi ampishe mzee akae. Yule mwanafunzi badala ya kujibu kistaarabu labda mama nimechoka au nnitalipa nauli ya mtu mzima ila alichokifanya ni kujibishana na yule mama. Akaanza kumwambia simpishi mtu angetaka angewahi. Mama kujibiwa vile akapata moto. Akamwambia nyie watoto wa siku hizi hamna adabu mzee kasimama wewe umekaa halafu unajibu vibaya. Mwanafunzi akamwambia mama "usitafutie kik kwangu kama una stress mshahara hujatoka achana na mimi." "Kwanza nakushangaa unavyoniambia nimpishe si ungempisha wewe". Mama akamwambia "we mtoto nina mtoto kama wewe nyumbani usinijibu vibaya". Mwanafunzi akamjibu "mama kama mtoto yuko kwako ungekua na mtoto kama mimi ungemleta kwenye garia saa hizi mbona hayupo kwanza achana na mimi na stress zako za kutolipwa mshahara".
Haki nilijisikia vibaya yule binti kumjibu vile mama wa watu. Sawa sio jambo zuri kumsimamisha mwanafunzi ili mtu mzima akae lakini yule binti ana mdomo mchafu sanaa. Kwa style hii hawa wanafunzi wa Dar wataendelea kufeli kwa sababu hawana adabu kwa mkubwa wala mdogo. Nimewazia walimu wake atakua anawajibu dharau kiasi gani wakiwa wanamgombeza.
hahaha [emoji23][emoji23]Kuna mwingine alimjibu mzee "we nawe umechelewa wapi, wa umri wako wapo kwenye magari yao"
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁Kuna mwingine alimjibu mzee "we nawe umechelewa wapi, wa umri wako wapo kwenye magari yao"