D
Deleted member 485868
Guest
Nikurekebishe"chanzo ni sisi wazazi"Chanzo ni nyie wazazi lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikurekebishe"chanzo ni sisi wazazi"Chanzo ni nyie wazazi lakini
Pole sanaUkiona gari imejaa usipande, ukipanda limejaa maana yake uko tayari kusimama.
Watoto wa siku hizi mmmmmh, ninaishi na mwanamke ana mdomo mchafu kumbe kafundiahwa na mama yake,
Hahahaaa, haya bana yna umeshinda,chanzo ni sisi wazazi tunadhani tunawapenda sana wanetu na kuwapa malezi ya ajabuNikurekebishe"chanzo ni sisi wazazi"
DuhWatu waziwa wasio na usafiri wao wanastairi treatment kama hiyo.
Wazazi wa sikuhizi tunajikuta tuna uchungu sana na watoto..enzi zile mtoto akikosa mtu yeyote anastahili kumuadhibu Siku hizi sasa..piga mtoto wa mtu utachambwa hadi ujuteHahahaaa, haya bana yna umeshinda,chanzo ni sisi wazazi tunadhani tunawapenda sana wanetu na kuwapa malezi ya ajabu
Kwanza utaanzia wapi kumgusa mtoto wa mtu? Mungu Atuongoze huko tuendako kwakweliWazazi wa sikuhizi tunajikuta tuna uchungu sana na watoto..enzi zile mtoto akikosa mtu yeyote anastahili kumuadhibu Siku hizi sasa..piga mtoto wa mtu utachambwa hadi ujute
Atuongoze kwakweli...ila kimtaamtaa mtoto akizingua nampa mabanzi alafu natoaga kabisa ruhusa kamwite mzazi wakoKwanza utaanzia wapi kumgusa mtoto wa mtu? Mungu Atuongoze huko tuendako kwakweli
Kumbe wee mbabe eeh yna4! ngoja ukutane na mwanamke wa Kizaramo aje amekufungia kibwebwe kama hujalazwa hospitali kwa maneno yake tu ya kukuchamba kwa kumgusa tu mwanae, wee una neno moja yeye maneno hamsini😀😀😀Atuongoze kwakweli...ila kimtaamtaa mtoto akizingua nampa mabanzi alafu natoaga kabisa ruhusa kamwite mzazi wako
Labda uchungu umekuwa mchungu zaidi kuliko zamani wazazi sisi ndiyo chanzoWazazi wa sikuhizi tunajikuta tuna uchungu sana na watoto..enzi zile mtoto akikosa mtu yeyote anastahili kumuadhibu Siku hizi sasa..piga mtoto wa mtu utachambwa hadi ujute
[emoji16] [emoji16] [emoji16] unadhani naogopa maneno...siogopi hata kidogo na wenye watoto wananifahamu vizuri tuKumbe wee mbabe eeh yna4! ngoja ukutane na mwanamke wa Kizaramo aje amekufungia kibwebwe kama hujalazwa hospitali kwa maneno yake tu ya kukuchamba kwa kumgusa tu mwanae, wee una neno moja yeye maneno hamsini😀😀😀
Ila wazazi tubadilike kwakweli, hivi hatuoni fahari kua na mtoto aliyejengeka katika misingi ya heshima kwa watu wote, adabu kwa wakubwa na nidhamu kwa mambo ayafanyayo?[emoji16] [emoji16] [emoji16] unadhani naogopa maneno...siogopi hata kidogo na wenye watoto wananifahamu vizuri tu
Uchungu umekua mchungu wapi basi tu hila za sisi wazaziLabda uchungu umekuwa mchungu zaidi kuliko zamani wazazi sisi ndiyo chanzo
Samaki mkunje angali mbichi
Na kweli tubadilike..tulee watoto katika misingi iliyo mema..zamani mtoto akiwa na njia zilizo njema mzazi unapata sifa. "Mtoto wa Fulani ana adabu kweli" tofauti na Siku hizi "lile Toto la mama zai halina adabu toto jeuri" mweh mzazi unapewa sifa mbaya sababu ya ulezi m'baya TUBADILIKE jamaniIla wazazi tubadilike kwakweli, hivi hatuoni fahari kua na mtoto aliyejengeka katika misingi ya heshima kwa watu wote, adabu kwa wakubwa na nidhamu kwa mambo ayafanyayo?
Halafu watu hua hawajui tu, hata hao watoto wenyewe wanapokua watu wazima hua wanakumbuka sana na kuwaenzi wale waliowapa malezi ya adabu na heshima hata kama ni aunt zao au bibi zao kuliko kule walipodekezwa na kuharibiwa kitabia hata kama ni kwa wazazi waoNa kweli tubadilike..tulee watoto katika misingi iliyo mema..zamani mtoto akiwa na njia zilizo njema mzazi unapata sifa. "Mtoto wa Fulani ana adabu kweli" tofauti na Siku hizi "lile Toto la mama zai halina adabu toto jeuri" mweh mzazi unapewa sifa mbaya sababu ya ulezi m'baya TUBADILIKE jamani