Wanafunzi kidato cha 5 na 6 Morogoro Sekondari hawana maji, Wagoma kuingia darasani

Tozo

Senior Member
Joined
Aug 23, 2021
Posts
101
Reaction score
202
Deni kubwa maji toka Moruwasa limesababisha shule ya sekondari Morogoro kukosa maji. Kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitumia maji ya kisima kilichochimbwa na taasisi moja ya kiiislam, yenye maji chumvi ambayo hutumika hata Kwa kunywa.

RAS Morogoro amuru moja toka Moruwasa litatue tazizo hili kwa muda. Huenda afisa elimu na mkuu wa shule hawajakujuza kwa sababu zao binafsi.

Taarifa toka kwa mzazi aliyearifiwa na mwanae.
 
Wakachote mitaani. Kwani walifuata maji? Waisaidie serikali kujikwamua.
 
Wanunuliwe mbege ya Rau Madukani wanywe.
 
RAS Morogoro maliza tatizo hili watoto wanawasiana na wazazi. Moruwasa zaidi ya mwaka walishakata maji kwenye shule hii kutokana na deni kubwa linalodai shule hii. Zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitumia maji ya kisima
cha chumvi ambacho kimeharibika mota.
 
Ccm 10 tena labda tutazungumza lugha moja.
 
Shule za binafsi wakasome. Watashughikia mitihani ya kidato cha nne ikiisha. Wanasaini mkeka toka NECTA kwanza.
 
Mbunge wao yuko bungeni anapiga makofi
 
RAS Morogoro amekusikia, atamshukia Headmaster Kama mwewe.
 
Waambie waingie darasani waache upumbavu na watafute maji yaliyokaribu na mto wowote uliokaribu ndio watumie maji hayo
 
CCM iliaaniwe kuaniza mwenyekiti wake
 
Ndio wajue maish n magumu , waachane na u- Home BoY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…