Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Inasikitisha sana ,serikali matrioni wanayokusanya wanapeleka wapi? Kwanini wasiajiri na kuwalipa walimu?Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu.
Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa shule, huku wazazi wakidai watoto wao walichapwa kwa waya baada ya kushindwa kutoa Sh1,500 iliyokuwa ikikusanywa kila mwezi kwa ajili ya kuwalipa walimu wawili wa kujitolea.
Hata hivyo, uongozi wa shule na mwalimu aliyetajwa katika tuhuma hizo wamekanusha madai hayo, wakisema wanafunzi walipewa adhabu kwa fimbo baada ya kukutwa wakicheza nje wakati wa muda wa kujisomea.
Kwa mujibu wa wazazi na viongozi wa kijiji, tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku wakati wanafunzi hao wakiwa wameweka kambi shuleni kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa Darasa la Saba unaotarajiwa kufanyika mwezi huu.
Wazazi walidai baadhi ya wanafunzi walichapwa sehemu mbalimbali za miili, ikiwemo miguu, mapaja na mgongoni, huku wengine wakipata maumivu na kushindwa kutembea vizuri.
View attachment 3661077
Bakola ziendelee kwa kasi na nguvu kubwa hadi wanyoke.Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu.
Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa shule, huku wazazi wakidai watoto wao walichapwa kwa waya baada ya kushindwa kutoa Sh1,500 iliyokuwa ikikusanywa kila mwezi kwa ajili ya kuwalipa walimu wawili wa kujitolea.
Hata hivyo, uongozi wa shule na mwalimu aliyetajwa katika tuhuma hizo wamekanusha madai hayo, wakisema wanafunzi walipewa adhabu kwa fimbo baada ya kukutwa wakicheza nje wakati wa muda wa kujisomea.
Kwa mujibu wa wazazi na viongozi wa kijiji, tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku wakati wanafunzi hao wakiwa wameweka kambi shuleni kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa Darasa la Saba unaotarajiwa kufanyika mwezi huu.
Wazazi walidai baadhi ya wanafunzi walichapwa sehemu mbalimbali za miili, ikiwemo miguu, mapaja na mgongoni, huku wengine wakipata maumivu na kushindwa kutembea vizuri.
View attachment 3661077
Tukiwambia hela mtaani hakuna mnasema nyingine Mama amefungua Nchi kila kitu kiko swafiiiTaharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu.
Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa shule, huku wazazi wakidai watoto wao walichapwa kwa waya baada ya kushindwa kutoa Sh1,500 iliyokuwa ikikusanywa kila mwezi kwa ajili ya kuwalipa walimu wawili wa kujitolea.
Hata hivyo, uongozi wa shule na mwalimu aliyetajwa katika tuhuma hizo wamekanusha madai hayo, wakisema wanafunzi walipewa adhabu kwa fimbo baada ya kukutwa wakicheza nje wakati wa muda wa kujisomea.
Kwa mujibu wa wazazi na viongozi wa kijiji, tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku wakati wanafunzi hao wakiwa wameweka kambi shuleni kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa Darasa la Saba unaotarajiwa kufanyika mwezi huu.
Wazazi walidai baadhi ya wanafunzi walichapwa sehemu mbalimbali za miili, ikiwemo miguu, mapaja na mgongoni, huku wengine wakipata maumivu na kushindwa kutembea vizuri.
View attachment 3661077
We uko sawa kweli, mtoto apigwe kisa amekosa hela ya kumchangia mtu aliyekosa ajira? Huyo mtoto anafanya kazi ganiHaya matoto yanaudhi kwa kweli, walimu msihangaike na wanafunzi wajeuri waacheni watakula jeuri yao. Mkiwapiga mtawaumiza au kuwaua kabisa, taabu yote ya nini wakati mshahara mnapata bila kuulizwa mlifundishaje? Toto kama halionyeki wacha likakufilie mbali, si halitaki kusoma?
Dawasa la Saba Kambi za nini? Mbona siku hizi Elimu imekuwa very complicatedKwa mujibu wa wazazi na viongozi wa kijiji, tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku wakati wanafunzi hao wakiwa wameweka kambi shuleni kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa Darasa la Saba unaotarajiwa kufanyika mwezi huu.
Waache usiwashtue.Ngoja wapate kesi za mauaji halafu waanze kujitilishia huruma.WALIMU WAPUMBAVU SANA.UNAMPIGA MWANAFUNZI KWANI NDIYO ANAITAFUTA HIYO PESA?KWA NINI WASIMWITE MZAZI WAKE.AU .MSONGO WAO WA MAWAZO NDIYO WANAMALIZA HASIRA KWA WANAFUNZI? SERIKALI IAJIRI WALIMU WAZURI NA SIYO WALIMU ******* KAMA HAWA
Kama wewe ni mwalimu basi Tanzania anaajiri walimu wahuni.Haya matoto yanaudhi kwa kweli, walimu msihangaike na wanafunzi wajeuri waacheni watakula jeuri yao. Mkiwapiga mtawaumiza au kuwaua kabisa, taabu yote ya nini wakati mshahara mnapata bila kuulizwa mlifundishaje? Toto kama halionyeki wacha likakufilie mbali, si halitaki kusoma?
Hizo kambi walimu wanazikomalia ili na wenyewe waponeemo kwenye michango ya pesa na chakula wanachochanga wazazi, nothing moreHaya sasa!! Hivi kwanini walimu tuna mahangaiko hivi!! Kambi za nini ikiwa serikali haioni haja ya shule kuwa na mabweni? Fundisha muda wako wa kazi pita hivi kafanye mambo yako ya msingi.
Kuhangaika na mambo ya michango, maisha yenyewe yamekaba koo, matokeo yake ndio hayo sasa๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Kwa hela gani sasa ya maana ya kukufanya uumize mtoto wa mtu kiasi hiki!! Hizo buku jero utakusanya ngapi na hapo hapo mtoto ale nk?Hizo kambi walimu wanazikomalia ili na wenyewe waponeemo kwenye michango ya pesa na chakula wanachochanga wazazi, nothing more
mnapiga kelele michango, mnataka tukale wapi? Tulieni tuwalelee watoto wenu nyie mkiwa kazini, hivyo vishilingi ni kidogo sana acheni tuleKama wewe ni mwalimu basi Tanzania anaajiri walimu wahuni.
IKitokea umepiga mtoto wangu hadi akaumia lazima.nikushughulikiemnapiga kelele michango, mnataka tukale wapi? Tulieni tuwalelee watoto wenu nyie mkiwa kazini, hivyo vishilingi ni kidogo sana acheni tule