Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania


Narration yako unaipata wapi?

Law School Ina sessions tangia 0800. Evening program gani unaiongelea wewe?

Ninakazia:

Tuacheni wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza dhidi ya wengine.
 
Wacha kupotosha tatizo la law school.

Zaidi sana acha wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza dhidi ya wengine.

Mbona hampeleki watoto kusoma kwenye shule wanako feli?
 
UPO sahihi mkuu tatizo kubwa ni watu wanashindwa kutofautisha Vyuo na Law school
Ufaulu wa ujanja ujanja wa Vyuo haupo Law school
Law School ipo kitaaluma zaidi kuliko Vyuo
 
🤣🤣🤣 Hapo nikuwaomba wajumbe wa Tume ya Mwakyembe wakatuombee paper moja ya aliyefeli tuone je! Ujibuji wake maswali unaonyesha alijiandaa na mtihani au Ni ujanja ujanja tu.
Ila tuache unafiki wanafunzi wengi wa shule na vyuo vyetu,kiingereza ni kipengere

Kujieleza orally na in writing ni shida
 
kufeli kupo real mzee na hapo ipo moja tu bongo nzima hapo ndo utajua vyuo vingi ni vya mchongo..

Watu na GPA kubwa kutoka vyuoni unataka mtu anapiga F za kutosha.
 
Japo nawajua walimu wa vyuo vikuu vya vya Uma kwa ubabe na kuona sifa kwenye kufelisha vijana.. lakini tukubali vijana wa Sasa Ni vilaza..mabishoo..mashoga..wavivu..n.k
Waache waendelee kujipost Instagram..Cha Moto watakutana nacho kwenye vyumba vya mtihani!
 
We nae ni bure ujui kama ili uchaguliwe Law school sifa moja wapo ni lazima kuna course wame orodhesha pale lazima uwe ume soma .na course zote sio chuo kinacho jichaguliwa ni TCU ndo wana direct kwaiyo kazi ya chuo ni kupanga ratiba yake tu, lakini course lazima zisomwe sio kwamba kila chuo kina course zake
 
Vilaza wanalazimisha kufaulu.

Mbona hampeleki watoto kusoma shule wanakofeli?

Mbona shule bora ni zinazofaulisha hata wakapewa zawadi walimu Kwa wanafunzi?

Tuacheni wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza dhidi ya wengine.
 
Mbona hampeleki watoto kusoma shule wanakofeli?

Mbona shule bora ni zinazofaulisha hata wakapewa zawadi walimu Kwa wanafunzi?

Tuacheni wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza dhidi ya wengine.
Endelea kuwapotosha tu vijana kuwa malalamiko yatafidia wajibu wao wa kusoma.

Ukitaka kufaulu mtihani soma .

No short cuts.
 
Ni muhimu kutambua Tanzania ni jamii ya watu waliojaa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza.
uMEANDIKA MADINI MATUPU, SHIDA YA WAPUUZI WA SO CALLED WALMU WA LAW SCHOOL NI KUWA TUSIWE WENGI! bLADIFAKEN BASTARD SO CALLED WALIMU., hAWA VIJANA WAJITOLEE KUFA KWA AJILI YA VIZAZI VIJAVYO.
 
Omba uone karatasi moja iliyojibiwa na mtahiniwa aliyefeli unaweza ona ameshindwa hata kudefine constitutional amendment
"Tusiingize siasa kwenye Elimu"

Kwa hiyo unakubaliana huko undergraduate wanatoa takataka sio?
 
Mimi sio mwanasheria ila miaka mingi iliyopita wakati law school inaanza kuna mtu mwanasheria aliwahi niambia kuwa kuna Jaji mmoja (jina linahifadhiwa) alisikika akisema kuwa: ' Tumepanua sana kutoa degree zs sheria wakati market haiko prepared kuwachukua wote hao hivyo lazima tutafute namna ya kuwadhibiti"

Wanafunzi wa law school wanafelishwa hawafeli.
 
Nakumbuka wosia wa Professor Makene.... ( R.I.P.)..Faculty of Medicine UDSM,now MUHAS kwa first year 1985 kuhusu ufaulu wa mitihani...."Our aim is not to train Angeles but to minimize mistakes".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…