Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania

Hakika upo ushahidi wa kutosha jinsi graduates wengi wa vyuo ni vilaza kwa miaka kama 10 ya hivi karibuni, kuna tatizo kubwa mahali katika mfumo wetu wa elimu.
Omba uone karatasi moja iliyojibiwa na mtahiniwa aliyefeli unaweza ona ameshindwa hata kudefine constitutional amendment
"Tusiingize siasa kwenye Elimu"
 
Wanafunzi Vihiyo
Wanafunzi wanaBet
Wanafunzi muda wote Simba na Yanga
Wanafunzi Washamba wa Jiji
Wanafunzi muda wote Daimond na Ally kiba wametoa wimbo gani
HUWEZI KUFAULU LAW SCHOOL
Sahihi kabisa
 
Kwani law school ni mahali pa kufanyia mtihani au unafundishwa kwanza then ndio kuna mitihani.
Kama kundi kubwa la wanafunzi wanafeli, pia ni failure kwa waalimu.
 
H

Haijalishi yuko inservice or fresh from school,.. nyinyi msifocus kuwalaumu hao walimu pekee ninyi Hamna madhaifu... Wanafunzi zaidi ya 400 wana supp means wananafasi ya kutoboa mitihan ijayo so Hali ya ufaulu kupanda... Nina Mwana mmoja bimeskul naye alikuwa mvivu Vivu hta kusoma nikasikia kaenda law baadaye law school Leo nazungumzia mwaka wa 8 anastruggle kutoboa supp hapo law school...

So msitake kubebesha lawama Kwa walimu tu.. ninyi ndo mnamapungufu mengi sana

Haya ni maoni yako siyo?

Unasema je kuhusu maoni haya?

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
 
H

Haijalishi yuko inservice or fresh from school,.. nyinyi msifocus kuwalaumu hao walimu pekee ninyi Hamna madhaifu... Wanafunzi zaidi ya 400 wana supp means wananafasi ya kutoboa mitihan ijayo so Hali ya ufaulu kupanda... Nina Mwana mmoja bimeskul naye alikuwa mvivu Vivu hta kusoma nikasikia kaenda law baadaye law school Leo nazungumzia mwaka wa 8 anastruggle kutoboa supp hapo law school...

So msitake kubebesha lawama Kwa walimu tu.. ninyi ndo mnamapungufu mengi sana
This is so true, wahitimu wa vyuo ni Tatizo na sio waalimu wa law school.
 
Sahihi kabisa
Usahihi huo ni kutokea wapi?

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Kwa mawazo mgando kama yenu hakuna shaka hii nchi Iko hapa ilipo.

Hata katiba kumbe si tatizo.

Kwamba wewe ni mmoja wa wafukuzia katiba mpya?

Vyuo vingapi vinalalamikiwa kwenye kadhia ya mass failure. Kwa hiyo kupata wahitimu bora ungepenekeza kila mtu kupitia hapo law school?
 
Law School kazeni hapo hapo. Mkilegeza tu, taaluma yenu itateketea. Nawafahamu vizuri wasomi wenzangu wa hivi karibuni. Wengi wao ni majanga na sishangai kwanini wanafeli Law School.

Anasema Prof. Mahalu:

“Haiwezekani wanaofeli mtihani wa uwakili pale LST hawana ujuzi na maarifa katika masomo yao kutoka vyuo walivyosoma. Hapana! Kuna tatizo na lazima utafutwe ufumbuzi,”

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Kwani hili povu lako unalotema form IV failure mwenzetu ni kutokea wapi?

CV yako tafadhali.
 
Kwani si wanaweza pata majibu ya mtihani baada ya matokeo kuona wamekosea wapi au kukata rufaa na kuangaliwa upya.

Mie nadhani ni hatua sahihi za kuchagua quality over quantity, wasomi wengi wa Tanzania ni makanjanja huko nyuma inaonekana wengi walikuwa wanafaulu kirahisi.

Inanikumbusha enzi za Magufuli na mkutano wake na wafanyabiashara yupo mmoja alikuwa na hotel analalamika kaajiri kijana ana masters lakini ata kuandika barua za kiofisi awezi, matokeo yake yeye mwenye hotel inabidi afanye kila kitu. Baadae akasema msione sector ya hotel and tourism wanaajiri wakenya wengi ni kwasababu vijana wa kitanzania uelewa wao mdogo sana.

Katika wataalamu kumi utakaowasikia Tanzania hasa nje ya serikali labda mmoja ndio amebobea hapo nazungumzia walimu wa vyuo na wengineo. Watu pekee wenye uelewa mpana Tanzania mara nyingi ni wakurugenzi wa wizara au vigogo wenye technical posts za juu ndani ya wizara au idara za serikali. Vinginevyo siku ukiingia kwenye mijadala ukisikiliza hasa ile ya space dah unabaki unajiuliza huyu bwana ni lecture kabisa.

Bora hivi wawe wakali kutoa wafaulu wenye quality, kuliko quantity Halafu hovyo.
 
Umeanza personal attacks, hivyo huna hoja.
Kama wanafunzi wengi wanafeli Law School basi shida imeanzia nyuma zaidi.
Kama mtu anashindwa kukidhi vigezo vya ufaulu, afaulishwe kwa lazima ili Law School ionekane inafaulisha sana? The Law School of Tanzania doesn't need cheap clout.
Kama kitu ni kigumu ni kigumu, hulegezewi ili kiwe rahisi, inabidi ukaze msuli.
Inaonekana hata Law School hujui ni nini wala nia na dhamira yake, mpaka una draw irrelevant comparisons between other schools/universities and The Law School of Tanzania.
 
Kwa maneno kama yako ni wazi kuwa uko kwenye ule umati wa watu wa hovyo kabisa. Mmejawa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza. Hamna mchango wowote kwa taifa hili.

Bure kabisa!
Wanafunzi kama wewe hata lakwanza utamalizajeee
 
Umeanza personal attacks, hivyo huna hoja.
Kama wanafunzi wengi wanafeli Law School basi shida imeanzia nyuma zaidi.
Kama mtu anashindwa kukidhi vigezo vya ufaulu, afaulishwe kwa lazima ili Law School ionekane inafaulisha sana? The Law School of Tanzania doesn't need cheap clout.
Kama kitu ni kigumu ni kigumu, hulegezewi ili kiwe rahisi, inabidi ukaze msuli.
Inaonekana hata Law School hujui ni nini wala nia na dhamira yake, mpaka una draw irrelevant comparisons between other schools/universities and The Law School of Tanzania.
Prof. Mahalu anajulikana na CV yake.

Yako hatuijui.

Weka yako tukunukuu kama una hoja!
 
Wanafunzi wa chuo kipi ndugu? Mbona vipo vyuo vingi na wanafunzi wabafanya vyema tu?

Hata hivyo inafahamika moo watanzania wengi mnaodhani chuo mi law school peke yake.

Kazi ipo!
Wewe mwenyewee Kwa tabia zako hizo utasomeshwa na nani Hadi ufaulu, Kwa Sasa kunavyuo baadhi ni vya mchongo, degree wanazotoa ziko low quality. Napongeza kabisa Chuo chenye msimamo imala, sio kutoa toa vilaza watupuuu. Mwalm mwenye msimamo ndio msaada zaidiiii kwenye jamiii. Degree na masters ni vitu vya kuheshim saaana, Sasa unakutaa mtu kazirura zurura kidogo halafu anarudi na kukwambia eti ana shahada au uzamili flani, yaaani ukiangalia vyeti vyake na anachodefend haviendaniiii. Wanafunzi tubadilikeee, kama mtu kaaamua kwenda shule asomeee Sasa na kama hataki abakiii. WALIMU wa vyuo vikuu, kazeniii saaana Hadi wanafunzi waone shule sio lelemama hapo ndioo mtalisaidia Taifa na ULIMWENGU Kwa ujumlaa.
 
Kwani si wanaweza pata majibu ya mtihani baada ya matokeo kuona wamekosea wapi au kukata rufaa na kuangaliwa upya.

Mie nadhani ni hatua sahihi za kuchagua quality over quantity, wasomi wengi wa Tanzania ni makanjanja huko nyuma inaonekana wengi walikuwa wanafaulu kirahisi.

Inanikumbusha enzi za Magufuli na mkutano wake na wafanyabiashara yupo mmoja alikuwa na hotel analalamika kaajiri kijana ana masters lakini ata kuandika barua za kiofisi awezi, matokeo yake yeye mwenye hotel inabidi afanye kila kitu. Baadae akasema msione sector ya hotel and tourism wanaajiri wakenya wengi ni kwasababu vijana wa kitanzania uelewa wao mdogo sana.

Katika wataalamu kumi utakaowasikia Tanzania hasa nje ya serikali labda mmoja ndio amebobea hapo nazungumzia walimu wa vyuo na wengineo. Watu pekee wenye uelewa mpana Tanzania mara nyingi ni wakurugenzi wa wizara au vigogo wenye technical posts za juu ndani ya wizara au idara za serikali. Vinginevyo siku ukiingia kwenye mijadala ukisikiliza hasa ile ya space dah unabaki unajiuliza huyu bwana ni lecture kabisa.

Bora hivi wawe wakali kutoa wafaulu wenye quality, kuliko quantity Halafu hovyo.

Kwamba?

".. ata kuandika barua za kiofisi awezi .."

Mkuu nimeishia hapo, kusoma.

Wewe uko na shahada gani mjomba?
 
Wewe mwenyewee Kwa tabia zako hizo utasomeshwa na nani Hadi ufaulu, Kwa Sasa kunavyuo baadhi ni vya mchongo, degree wanazotoa ziko low quality. Napongeza kabisa Chuo chenye msimamo imala, sio kutoa toa vilaza watupuuu. Mwalm mwenye msimamo ndio msaada zaidiiii kwenye jamiii. Degree na masters ni vitu vya kuheshim saaana, Sasa unakutaa mtu kazirura zurura kidogo halafu anarudi na kukwambia eti ana shahada au uzamili flani, yaaani ukiangalia vyeti vyake na anachodefend haviendaniiii. Wanafunzi tubadilikeee, kama mtu kaaamua kwenda shule asomeee Sasa na kama hataki abakiii. WALIMU wa vyuo vikuu, kazeniii saaana Hadi wanafunzi waone shule sio lelemama hapo ndioo mtalisaidia Taifa na ULIMWENGU Kwa ujumlaa.

Msimamo imala ni upi ndugu? Ujumlaa nao ni upi?

Boda boda nanyi mnacho cha kuchangia huku?

Ndiyo maana mnaambiwa ajira zenu ni za laana.
 
Akili yako inawaza Kila mtu ni bodabodaa halafu unazungumzia ufaulu wa shule za sheriaa. Duuuuuuh sikufaham kama uko hivyoo.
 
Back
Top Bottom