Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Kumbe haijadiliwi hoja inajadiliwa CV?Prof. Mahalu anajulikana na CV yake.
Yako hatuijui.
Weka yako tukunukuu kama una hoja!
Embu nijiondoe kwenye huu uzi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe haijadiliwi hoja inajadiliwa CV?Prof. Mahalu anajulikana na CV yake.
Yako hatuijui.
Weka yako tukunukuu kama una hoja!
Sio maneno yangu hiyo clip tafuta mkutano wa Magufuli na wafanyabiashara yupo mmoja kutoka Mtwara alikuwa akitoa hayo malalamiko.Kwamba?
".. ata kuandika barua za kiofisi awezi .."
Mkuu nimeishia kusoma hapo.
Wewe uko na shahada gani mjomba?
Sawa kama ni ujinga mtupu ila uhalisia unaonekana kwenye matokeo ya lawschool, mi naongea nachokiona sio nachosimulia, uzuri wake nimepitia chuo kikuu kimoja kikubwa hapa so najua nachokiandika
Kumbe haijadiliwi hoja inajadiliwa CV?
Embu nijiondoe kwenye huu uzi...
Sio maneno yangu hiyo clip tafuta mkutano wa Magufuli na wafanyabiashara yupo mmoja kutoka Mtwara alikuwa akitoa hayo malalamiko.
Degree yangu ni jack of all trade hizo za social science ata sijui wanafeli vipi, personal nipe module tu nakuandikia report au nipe topic nakuandikia thesis yoyote ya social science au masomo ya biashara. Otherwise official qualification zangu ni accountant.
usiwadanganye wenzio waambie wakaze buti. Hao 3% waliofaulu walipendelewa? walifundishwa na walimu tofauti? walifanya mitihani tofauti? walisoma vitabu tofauti?
usifananishe mitihani ya kazi na mitihani ya kutoka kidato kimoja kwenda kingine mjomba.
Bodaboda anapopoteza muda wake dhidi ya wasomi nguli.Yaaani kiwango chako Cha kufikiri ni bodabodaa halafu napoteza mda kujibu. Hovyo kabisaa
Wapandishe viwango vya vigezo vya kuingilia law school.
Wenye akili za kuwaza bodabodaa, kama wewe utawezaje kuzingumzia taaluma mahili kama sheriaa, wewe si ufikirie kupakiza mishikaki tuuu. Samahani kupoteza mda najibizana na wewe bodabodaa.Bodaboda anapopoteza muda wake dhidi ya wasomi nguli.
Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Hovyo kabisa!
Akili yako Bado Iko chini saana wewe bodabodaa, umewahifuatilia upatikanaji wa first class wewe? Kwani mtu akipata first class degree ya kwanza ndio sababu HAWEZI kushindwa mbeleeeniii?? Ulisikia wapiii weeeweee. Hakuna watu wenye viburi kama hao wanaojiita wanafurst class, kwanza ata darasani hawaingiii, kiburi na dharau na kujiamini kuliko pitiliza vimewajaaaa, kudharau wakufunzi ndo usisemeee, concentration darasani hawana kabisa, hawaaambiliki, kisa eti wanajua Kila kituu.Wengi wa wanafunzi wanaosoma LST ni first class material.
Wapandishe vigezo wavipate wapi juu ya first class?
Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Walimu hapo walikuwa ni kufurushwa tu. Hawana lolote.
Chuo hapa nchini ni LST peke yake?
Kama hiko ndio kipimo chako cha uelewa sioni ajabu ya wewe kutetea vilaza wenzako.".. ata kuandika barua za kiofisi awezi .."
Uko vizuri komaa hapo hapo.
Kwani mpaka waje hao maprofesa uliwataja, kwani hao waliofaulu wamefundishwa na akina naniii, kikubwa suala la kufeli sio la kuundia tume, kikubwa tuwabane wanafunzi wajitume na WAJUE kilichowapeleka shuleniii. Halafu sio lazima kwenye mtihani mfaulu wote, inawezekana kabisa mkafeli wote au wachache wakafaulu au wakafeli. Sawaa?Tulipiga kelele kuhusu Tume yenye Mwenyekiti Mwakyembe kuwa siyo mahali penye integrity ya kutukuka ya kutupatia majibu wakati kunao watu taifa hili linalowaheshimu kutokana na kazi zao. Ni muda muafaka tuwe na namna ya kufanya vetting kama taifa kwenye mambo muhimu kama haya. Wakina Professor Shivji, Chris Peter, majaji wastaafu wakina Robert Makaramba, Professor Ruangisa, akiwemo jaji Mkuu Mstaafu Sumata na wengine wengi other than how ma serial wenyeviti wa Tume zisizo na tija, wangeweza kutusaidia kupata ufumbuzi wa jambo hili maana kwa sisi tusio wana sheria lakini watu wenye akili timamu tunachokiona ni kuwa waliofeli ni wote, wanafunzi wa Law school, walimu wao, na mfumo mzima wa law school ni 'failure' ab initial. Hili ndio tatizo llingine na kukosekana kwa agenda za kitaifa hata kwa waathirika. Wakati wa mwaka jana walipokumbwa na madhili, hawa wa mwaka huu walikaa kimya. Yote ni yote, hii ni kashfa nyingine kubwa kwa taifa, na hasa tasnia muhimu kama hii. Nashingaa hata wanasheria wenyewe ikiwemo TLS wamefunga midomo.
Wewe utaweza kuzungumzia Sheria kuliko kina Prof. Mahalu, Shivji au Binamungu?Wenye akili za kuwaza bodabodaa, kama wewe utawezaje kuzingumzia taaluma mahili kama sheriaa, wewe si ufikirie kupakiza mishikaki tuuu. Samahani kupoteza mda najibizana na wewe bodabodaa.
Unawakana boda wenzakoo, ebu kwenda ukooo, najuta kujibizana na anayewaza bodabodaa.Wewe utaweza kuzungumzia Sheria kuliko kina Prof. Mahalu, Shivji au Binamungu?
Kujimwambafy huko bila shaka kutakuwa ni kutokea kijiwe cha bodaboda fulani.
Huoni hivyo ndugu?
Kwani mpaka waje hao maprofesa uliwataja, kwani hao waliofaulu wamefundishwa na akina naniii, kikubwa suala la kufeli sio la kuundia tume, kikubwa tuwabane wanafunzi wajitume na WAJUE kilichowapeleka shuleniii. Halafu sio lazima kwenye mtihani mfaulu wote, inawezekana kabisa mkafeli wote au wachache wakafaulu au wakafeli. Sawaa?
Bodaboda ni wenzako. Taja majina ya wenzako tuone.Unawakana boda wenzakoo, ebu kwenda ukooo, najuta kujibizana na anayewaza bodabodaa.
Ningependekeza walimu wao kutahiniwa na mitihani wao wenyewe na wakasahihishwa kama wanafunzi anonymously. Usishangae wasingeshinda pia.Omba uone karatasi moja iliyojibiwa na mtahiniwa aliyefeli unaweza ona ameshindwa hata kudefine constitutional amendment
"Tusiingize siasa kwenye Elimu"