Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania

Hasira za nini mkuu au nawewe Upo kwenye list ya hao waliofeli?
Hasira unazisoma wapi ndugu au na wewe ni katika hili kundi la hawa hopeless:

"Ni muhimu kutambua Tanzania ni jamii ya watu waliojaa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza."
 
Nchi za ulaya wanapambana na AI ambayo mtu yoyote ataweza kupata msaada wa kisheria mahali popote, miaka inavyozidi kwenda ndivyo elimu inavyorahisishwa kwa wenzetu, kwetu sisi tunajikita zaidi kwenye paper results. Ufaulu wa kwenye makaratasi.

Binadamu anaweza kufaulu mtihani bila kuwa na elimu ya alichofaulu...
Nakumbuka kuna swali la hesabu ambalo ukitumia calculator ni chini ya dakika moja unapata jibu ila kwa kutumia njia ya kuchora table utatumia si chini ya 15min kama upo sharp kwenye kukariri njia za kupita. Wanafunzi walitumia muda mwingi kukariri lile swali kuliko kuelewa logic yake sababu walitaka kufaulu mtihani sio kupata elimu ambayo lile swali linalenga uipate.
 
tuache uzushi usio na msingi, hivi uliskia mawakili wangapi wakiwatetea waliofeli ,pale L.S.T, wanafunzi wanafunzwa the practical side of law , yaani drafting,litigation, court pocedures mostly .Universities walifunzwa the theory mainly na statutes. wengi wa waliofeli mwambie a draft charge sheet tu hajui , lazma atafute online sasa wakili yupi yule , atajuaje court of appeal procedures ama drafting a proper plaint kama charge sheet tu imemshinda alafu mzazi pale analaumu walimu pale LST, wanafunzi wengi ni vilaza na WAVIVU balaaa ... Kama waona nakudanganya muulize mwaanao aliosoma sheria interlocutory procedure in the court of appeal ni ipi na corresponding rules na orders atabaki anauma meno tu , ilhali ni kitu basic sana, nilishawai kusoma baadhi ya answers zao after marking nlibaki na mshtuko ....narudia tena wanafunzi ni wazembe mno
 
wewe sema haujui the legal procedures zifunzwazo pale LST , pale wanafunzwa the practical side of the law ,huko university walikuwa wanafunzwa theory mostly , yaani pale unafunzwa drating na court procedures and rules mainly , nikikupa mfano swali moja walipewa last year kuhusu affidavit na interlocutory issues in court waliojibu sahihi ni chini ya 10 , sasa wakili aliyefeli kama yule ukiwa na kesi atajuaje kuapply for injuctive relief ama prohibition orders kotini , si kesi yako iafeli tu on grounds of technicality alafu utamwona jaji amehongwa kumbe ni kilaza aliyekuwakilisha hajui court procedures , mind you kila koti ina procedures zake. . msiwatete wale , vilaza hata wakipass pale in practice watafeli tu na kuwafelisha wengi kwa kesi zao
 
Ulichoandika chote una uhakika kuwa ni paragraph moja? Kwamba wewe ndiye uliye elimika?

Kulikuwa na uzi humu kuhusu LST:

Law School kufumbia macho tuhuma zinazowakabili haikubaliki

Post #1, 2 na 3 zinahusika.

Zingatia uzi huu baada ya nyingi mno kuwahusu miungu watu hawa, ni wito wa ukombozi wala si wa kutafuta huruma.

Inafahamika wengine mko kwenye kundi hili humu:

"Ni muhimu kutambua Tanzania ni jamii ya watu waliojaa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza."

Watu kama nyie hamna mchango wowote kwa taifa hili.

Bure kabisa!
 
Wewe unazijua kuliko hawa?

Kwa hisani ya mdau aikambe:

Anaandika mdau (11 Oct 2022):

Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania.

Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo.

1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni.

2. Somo la field lipo, ila marks zake hazihusiki kwenye kubaini ufaulu. Yaani alama za somo la field hazina maana kwenye GPA calculation maana hazitambuliki.

3. Wanafunzi wa Law School hufundishwa kwa nadharia darasani, na kuingia semina kama ilivyo vyuo vikuu.

4. Mwalimu mmoja hutoa mhadhara kwa wanafunzi wote 600+ na akimaliza anaingia mwingine hadi siku inaisha.

5. Mada zinazofundishwa Law School ni zilezile mwanafunzi alifundishwa vyuoni ngazi ya degree na hakuna tofauti.

6. Muda wa mitihani haupo fair. Kwenye mtihani mmoja, kunakuwa na maswali ya kuandaa hati za mashtaka na madai nyingi mno kiasi kwamba muda wa kuandaa hati hizo hautoshi. Kwa wasijua, hati za kisheria uandaaji wake unahitaji kurejea vifungu vya sheria mbalimbali ambazo unakuwa unazo mezani(Acts).

7. Wahadhiri wa Law School huamini kwamba wanafunzi wao watafeli na mtu akifaulu wanashangaa sana. Yaani wapo kama miungu watu. Pale Law School hata secretary anamdharau mwanafunzi na anataka umuinamie kumsujudu.

8. Mahakimu, na waajiriwa wengine wenye uzoefu kwenye sheria wakienda kujiendeleza Law School nao hufeli pia.

9. Kuna wakati mahakimu walishauriwa wasijiendeleze Law School maana ni fedhea hakimu mzoefu unafeli Law School. Badala yake waliaambiwa watapewa utambulisho maalum kwamba wamefuzu vigezo vya sheria kwa vitendo.

10. Suplementary yaani mitihani ya kurudia haina kikomo Law School. Unaweza hata ukakaa na sup. hata miaka 40.

11. Law School ukikata rufaa ya matokeo haipatiwi majibu na unaweza ukaanza apya kusoma na kumaliza bila kupata majibu ya rufaa.

12. Law School unasoma masomo yote uliyofundishwa kwenye shahada ya sheria kwa miaka minne, lakini ukifika Law School unafundishwa kwa miezi 6 na unapewa mitihani. Halafu miezi mingine 6 unaenda field.
 
Hilo swali unalolisema huenda kuna anayeliishi na kulifanyia kazi miaka na miaka na anaelimu nalo sana tu ila hapo kwenye mtihani kalishindwa. Elimu anayo ila hajafaulu.

Siwatetei boss ila elimu sio ngumu hivi. Huenda mitihani ndo migumu. Hayo mambo yote uliyoyatamka ugumu umeutengeneza kwa kutumia terminologies na na namna ulivyoyatamka ila huenda katika utendaji hayana ugumu huo uliouonyesha.

Hahaha
Kuna mwalimu huwa anasema vijana wetu kuwa ni wavivu sababu wanataka mambo marahisi.

" Watoto wamekuwa legelege, wao ni internet kila kitu internet" wakati huko nje walioleta huu mfumo wa elimu kuna vyuo unafanya mitihani ukiwa na PC yenye internet kama sehemu ya vitendea kazi.
 
we zuzu inaonekana umechanganyikiwa, kwenye elimu hakuna siasa bwana mdogo. Pili mahakama haiingilii mambo ya taaluma. Km huwezi kusoma siyo lazima kuna shughuli zingine za kufanya. kuanzia shule ya msingi ni wangapi wameishia njiani? Katafute kazi nyingine elimu usiiletee upupu wako huu.

Kama wewe siyo zuzu basi msamiati huko haupo:

Si muda tu. Mass failure haiwezi ku m exempt mwalimu.

Kwa nini shule bora zimekuwa zile zenye kufaulisha wanafunzi wengi? Kwa nini shule zinazoshika namba za juu ni zenye ufaulishaji zaidi na siyo zenye kufelisha?

Hapa walimu wote walikuwa wa kufurushwa tu. Ajabu na kweli wanafunzi waliopo pale leo, kana mbuzi wa kafara wapo wapo tu nao wanasubiri kufeli.

Nani awapiganie ninyi sasa? Ni hawa watanzania wajuaji wasioyatakia mema mafanikio yenu?
hiyo ni kile kizazi mnaita cha Z, hawana akili na wana mambo mengi ya kupuuzi. Hizo shule mlizotika mlilishwa na vijiko km vitoto vichanga siyo elimu ya juu dogo. Mmeibiwa mitihani na kila aina ya magendo mkafaulu, law school hakuna magendo.
 
we zuzu inaonekana umechanganyikiwa, kwenye elimu hakuna siasa bwana mdogo. Pili mahakama haiingilii mambo ya taaluma. Km huwezi kusoma siyo lazima kuna shughuli zingine za kufanya. kuanzia shule ya msingi ni wangapi wameishia njiani? Katafute kazi nyingine elimu usiiletee upupu wako huu.
Yaani miswada ijadiliwe na wabunge hata wa drs la saba ila kuitafsiri ikiwa sheria ndo ufaulu uwe mgumu hivi?

Hapa ndipo ccm kupitia waingereza wanapotuweza. Wametuaminisha kuwa elimu ni tabu sana kuipata na sio nyepesi. Waingereza walifanya hivi kurahisisha kututawala. Elimu ni ufahamu unaorithishwa kwa binadamu ili kurahisisha maisha katika sekta fulani.
 
hiyo ni kile kizazi mnaita cha Z, hawana akili na wana mambo mengi ya kupuuzi. Hizo shule mlizotika mlilishwa na vijiko km vitoto vichanga siyo elimu ya juu dogo. Mmeibiwa mitihani na kila aina ya magendo mkafaulu, law school hakuna magendo.

Wewe ukiacha kuwa dogo basi madogo hawapo tena:

"Ni muhimu kutambua Tanzania ni jamii ya watu waliojaa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza."

Kama wewe mliangaziwa vilivyo kwenye mada.
 
Ulichoandika chote una uhakika kuwa ni paragraph moja? Kwamba wewe ndiye uliye elimika?

Kulikuwa na uzi humu kuhusu LST:

Law School kufumbia macho tuhuma zinazowakabili haikubaliki

Post #1, 2 na 3 zinahusika.

Zingatia uzi huu baada ya nyingi mno kuwahusu miungu watu hawa, ni wito wa ukombozi wala si wa kutafuta huruma.

Inafahamika wengine mko kwenye kundi hili humu:

"Ni muhimu kutambua Tanzania ni jamii ya watu waliojaa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza."

Watu kama nyie hamna mchango wowote kwa taifa hili.

Bure kabisa!
sina mchango kivipi mwenzangu na mimi , nina law firm dar , ofisi dodoma na nairobi , i speak pure facts the law isnt for everyone , na wengi wa wanaochangia pale sio actual practising lawyers , mi mwenyewe nlirudi pale LST after years of practice na in one of the units nilifeli , ila sikufelishwa , in that unit ethics kiukweli sikuwa na relevant content, nlipass zingine zote na the one i failed nlifanya resit and passed , pale hamna cha tunajuana , students need to be keen pale , wengi nliokuwa nao classes ni kufanya mahusiano, movie etc , yaani tuache mbwembwe za hapa nje ww mwenyewe nenda in one of the those classes , ukitoka pale hutowai watetea tena wanafunzi , uliona wapi students wa law wanafunzwa practice na library in anyday haina wanafunzi wasiozidi 10 , utapass vp , tuwe wakweli sometimes
 
Hilo swali unalolisema huenda kuna anayeliishi na kulifanyia kazi miaka na miaka na anaelimu nalo sana tu ila hapo kwenye mtihani kalishindwa. Elimu anayo ila hajafaulu.

Siwatetei boss ila elimu sio ngumu hivi. Huenda mitihani ndo migumu. Hayo mambo yote uliyoyatamka ugumu umeutengeneza kwa kutumia terminologies na na namna ulivyoyatamka ila huenda katika utendaji hayana ugumu huo uliouonyesha.

Hahaha
Kuna mwalimu huwa anasema vijana wetu kuwa ni wavivu sababu wanataka mambo marahisi.

" Watoto wamekuwa legelege, wao ni internet kila kitu internet" wakati huko nje walioleta huu mfumo wa elimu kuna vyuo unafanya mitihani ukiwa na PC yenye internet kama sehemu ya vitendea kazi.
kiukweli hata ww ungeshika kitabu na siku tu hilo swali ungelipita bila shida , ni rahisi tena sana , sema vijana kule ni kutongozana , kushindania i phone hata library huwa unakuta wanafunzi wachache sana hawapiti 10 , ukiangalia logs za vitabu vilivyoombwa ni vichache pia , siku ya mtihani ndio wanajaa eti revision , ww nenda pale jifanye mwanahabari , fanya uchunguzi wa tabia ya wanafunzi , bila shaka utapata jibu kuhusu faliures , mwalimu hawezi kukunyima marks pale anapoona correct answers, ingekuwa wanayosema wanafunzi ni kweli mbona wanafunzi 23 walipita
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom