Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Kama hao walio faulu wamepita kwa mlango wa nyuma..? Wafute tu hako ka shule kakipumbavu.. hakana maana yoyoteMkuu, suala la Wanafunzi kupinga lingekuwa lina mashiko iwapo katika Watahiniwa wote kama ni 800 basi asiwepo hata mmoja aliyefauru.
Lakini watahiniwa 800 alafu unakuta kuna wenzio kadhaa 23 wamefauru, hii iwe kama ni alert [emoji3544] kwa Watahiniwa kuongeza bidii ya kujifunza wawapo Law School.
Changamoto ninayo iona, kuna uwezekano Wanafunzi wanakuwa busy na utafutaji/ kazi na kukosa muda wa kujisomea.
Nina uhakika zaidi ya 57% hadi 70% ya Wanafunzi wa law school ni in service