Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania

Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania

Mkuu, suala la Wanafunzi kupinga lingekuwa lina mashiko iwapo katika Watahiniwa wote kama ni 800 basi asiwepo hata mmoja aliyefauru.

Lakini watahiniwa 800 alafu unakuta kuna wenzio kadhaa 23 wamefauru, hii iwe kama ni alert [emoji3544] kwa Watahiniwa kuongeza bidii ya kujifunza wawapo Law School.

Changamoto ninayo iona, kuna uwezekano Wanafunzi wanakuwa busy na utafutaji/ kazi na kukosa muda wa kujisomea.

Nina uhakika zaidi ya 57% hadi 70% ya Wanafunzi wa law school ni in service
Kama hao walio faulu wamepita kwa mlango wa nyuma..? Wafute tu hako ka shule kakipumbavu.. hakana maana yoyote
 
Hudhani mzizi uko hapa ndugu:

"Ni muhimu kutambua Tanzania ni jamii ya watu waliojaa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza."

Kwa nini kutengeneza hitimisho zito kama lako bila kuwa na ufahamu wowote wa mambo pale?

Kwa nini usiache yakawa angalau maoni huru?

Kwani hawa nao unasema je?

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Hivi unajua ukifanya utafiti wa "why poor performance kwenye vyuo vikuu" unaweza ukafanya utafiti huohuo kwenye shule za secondary majibu ya tafiti yakawa yanaendana na Yale ya vyuo vikuu.
Chamsingi tubadilike tufanye kazi kwa moyo wote iwe ofsn, vyuoni, nk
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sasa hivi kimeja wauza sura wengi sana. Asilimia kubwa sana wanamaliza vyuo sasa Kingereza kinawapiga chenga sana, hawajui mambo mengi sana ambayo ni basic na pia hata wanavyojenga hoja unaona kabisa uwezo wao critical thinking uko chini sana. Tofauti ni kwamba sasa hivi wanaomaliza vyuo ni wengi.

Ujasiri wako haukufirikishi ndugu?

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Kwani na wewe ni msomi nguli?
 
Hivi unajua ukifanya utafiti wa "why poor performance kwenye vyuo vikuu" unaweza ukafanya utafiti huohuo kwenye shule za secondary majibu ya tafiti yakawa yanaendana na Yale ya vyuo vikuu.
Chamsingi tubadilike tufanye kazi kwa moyo wote iwe ofsn, vyuoni, nk

Poor performance unaipima vipi universities kuliko na first class kila leo? Kwani umesikia kuna malalamiko ya mass failure kokote kwingine zaidi ya LST? Wewe huoni pana kitu localized hapa?

Nadhani utafiti wako ukijikite kwenye "why poor performance at LST?"

Siyo UDSM, SUA, MZUMBE, UDOM, UCLAS, MUHAS wala kwingine.

Hata hivyo pana maprofesa wa sheria hapa:

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Kwani wewe ni mmoja wao ndugu?
 
Nimetoa mfano tu mkuu, ingawa Kuna tafiti zinaonyesha hivyo
 
Kuna tofauti kubwa baina ya law school na school of law. Haya mambo siyo size yako. Huku mawazo ya maprofesa yanazingatiwa siyo yenu wenye ajira za laana
Wewe mwenye size mbona unatafuta hurumaa. Kama wewe nikilaza endeleaa na bodabodaa zako huko Kwa wasomi sio size yakoo.
 
Kama hao walio faulu wamepita kwa mlango wa nyuma..? Wafute tu hako ka shule kakipumbavu.. hakana maana yoyote
Pole sana Mkuu kama nawe umekuwa ni miongoni mwa Wahanga wa kufeli hiyo shule ya sheria.

Kutokana na Sheria iliyopo ni Kosa kufanya kazi za Kiuwakili kama hujahitimu Law School na kusajiriwa.

Sheria hiyo pia inafanya kazi kwa Wahandisi, Madaktari, Wakadiria Ujenzi n.k, kama hujasajiriwa nao huruhusiwi Kisheria kufanya kazi za Kitaaluma.
 
Uzi huu ulikuwa wito maalum kwa wanafunzi LST kupindua meza. Nguvu ya imma haijawahi kuyafanya yasiyowezekana kuwezekana.

Kwa nini make ya LST hayasikiki kwa madaktari, wahamdisi au wakadiria ujenzi?

Wanafunzi waliopo na watarajiwa wanaweza kudhani hii ni kwa hawa tu SI wao.

Kwani wanaofuata wako mbali?

Asichokijua mtanzania ni nguvu yake ya umma aliyo nayo kiasi kudhani sheria zilizopo ni kutoka kwa Mungu.

Bure kabisa!
 
Wanafunzi wengi hawasomi kazi Yao kutiana mimba tu na kuwa mashoga.lakino most the time universities of nowadayzo ni kufanya biasha hivyo kulazimisha wanafunzi wafaulu!! Fani ya Sheria ni mhimu kwa taifa.so wasituletee vilaza mitani bhana
Walimu wao wanapingana na wewe:

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Unasema je kwa hilo ndugu?

Kuna na hili pia:

"Ni muhimu kutambua Tanzania ni jamii ya watu waliojaa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza."

Haiwezekani kuwa unalia machozi ya mamba?
 
Tuache kuingilia kazi za watu sizani kama hao walimu wanaweza kuwaonea hao wanafunzi wote wakawafelisha makusudi hao wanafunzi hawakuweka bidii kwenye masomo yao.Unless otherwise wapitishwe tu alafu tupate wanasheria wazembe kabisa baadae tuanze kulalamika tena.
 
Wacha kupotosha tatizo la law school.

Zaidi sana acha wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza dhidi ya wengine.

Mbona hampeleki watoto kusoma kwenye shule wanako feli?
Hasira za nini mkuu au nawewe Upo kwenye list ya hao waliofeli?
 
uMEANDIKA MADINI MATUPU, SHIDA YA WAPUUZI WA SO CALLED WALMU WA LAW SCHOOL NI KUWA TUSIWE WENGI! bLADIFAKEN BASTARD SO CALLED WALIMU., hAWA VIJANA WAJITOLEE KUFA KWA AJILI YA VIZAZI VIJAVYO.
Sio Kweli hakuna mwalimu anaefundisha mwanafunzi alafu akataka mwanafunzi Yule afeli.No one
 
Back
Top Bottom