Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Kweli kabisa. Sijui serikali ilitumia vigezo vipi?Ni hatari kwa afya.......
Hapa tunaongea kiafya. Kwani mtu anatakiwa kulala masaa mangapi? Madakitari njoo hapa mtushauri. Zingatia awa bado watotoWacha wakariri
Hiyo ni kweli. Ebu ulizia wa kwako kama unaye!Wanawamaliza ubongo
Wanatoka kwangu...kulala saa 3 kuamka 11.... shule zenyewe za kuwatesa watoto ndiyo hizi za Tz? Kwa ajira gani?Hiyo ni kweli. Ebu ulizia wa kwako kama unaye!
Olevel au Alevel?Daah shule yetu ilikuwa tunalala saa 5 usiku tunaamka saa 9 usiku kusoma tena
Ila ndiyo hivyo kutafuta kufaulu
A level hiyoOlevel au Alevel?
Alevel unakuwa angalau umekomaa. Kwa mfano mimi mtu mzima naweza kulala 6 na kuamka saa 9 kwenda job na sioni shida. Hapo ndani ya huo muda natoa muda wa kumpelekea moto mamsapu wangu. Hapo uenda nikalala masaa 2 😄A level hiyo
Mbona shule zote za bweni za serikali ndo hivyo. Watoto wangu wako shule mbili tofauti katika mikoa tofautiHiyo sio sawa. Kuamka saa 11 ni sahihi kwa mtu aliyelala saa 4. Itaje hiyo shule hatua zichukuliwe
Yeah! That's right. Alafu hapo unapigwa ugali maharagwe muhula mzima na kunyimwa usingizi juu yake. Sasa akili itoke wapi? Alafu wanatuambia 99.95% wote wamefauluBongo elimu ni vita ndiyo unaona mtu akipata ajira anavimba hasa na upigaji kufidia msoto.
Finland kila baada ya kipindi cha dakika 45 darasani ni mapumziko ya dakika 15 ni kwa shule zote za umma.