Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Saa tisa wanaamka kufanya nini
Sijui kusoma, kufanya usafi, kukimbia mchakamchaka, nkSaa tisa wanaamka kufanya nini
Saa tisa ni mapema mno na vitoto vya siku hizi walivyo wadogoSijui kusoma, kufanya usafi, kukimbia mchakamchaka, nk
Wakirudi midterm na terminal vimenyongonyea! Sio wa kwangu tu, bali ukiwaangalia kwa umakini unaona kuna shidaSaa tisa ni mapema mno na vitoto vya siku hizi walivyo wadogo
Chukueni hatuaWakirudi midterm na terminal vimenyongonyea! Sio wa kwangu tu, bali ukiwaangalia kwa umakini unaona kuna shida
Hatua gani! Angalau kuongea kupoozesha stress😊Chukueni hatua
Uko hatari sana msimu huu ukipita shuleni unakuta mwalimu anasahihisha na kigae kiko chini kinakolezwaKiafya ni mbaya just imagine shule kama zilizopo njombe, iringa na mbeya...
Mtoto anasoma comb ngumu kama pcb..
Bardi lile aiseeee aiseeee
Alafu kuna ticha ukikosa namba anakuweka as if ajui kile kipindi kuamka ni ngumuUko hatari sana msimu huu ukipita shuleni unakuta mwalimu anasahihisha na kigae kiko chini kinakolezwa
Kikao Cha wazazi ? Hawasikilizi?Hatua gani! Angalau kuongea kupoozesha stress😊
Mtu anatakiwa kulala kwa wastani wa masaa nane kwa sikuHapa tunaongea kiafya. Kwani mtu anatakiwa kulala masaa mangapi? Madakitari njoo hapa mtushauri. Zingatia awa bado watoto
Watoe haraka mkuuNina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu hivi.
Hapo mtoto akiwahi kulala atakuwa amelala masaa matano na nusu au pungufu ya hapo kwasababu kuna muda wa kutembea kutoka madarasani hadi mabwenini na muda kujiandaa kulala, hivyo inaweza kuwa chini ya masaa 5 ya kulala. Mimi nilisoma shule za bweni hizohizo lakini tulikuwa tunaruhusiwa kulala saa nne na kuamka saa kumi na moja alfajiri, masaa saba.
Sasa hili la kulala masaa pungufu ya matano, kiafya hikoje? Kwa mtoto aliyeanza kidato cha kwanza na miaka 10-11 kama wengi wa watoto wa siku hizi wanaosoma wakiwa wadogo, lazima changamoto ya kiafya iwepo!
Niwapeleke wapi?Watoe haraka mkuu
Jomba 1.3 kwa PCM au PCB haipatikani kiholela. Wenye akili tu wanaipata na sio vinginevyo.Bongo bado tuna elimu ya kiboya sana. Tunaona mwanafunzi aliyepata 1.3 kwa kuweka miguu kwenye ndoo ya maji ndo ana akili.
Hakuna shule za kuamshana saa 9 usiku mkuu. Au wewe ulisoma bweni huko Burundi?Mbona kawaida au humu wengi wenu mlisoma shule za day
Mambo ya kuamshana usiku saa 9 hayajakaa sawa japo ndo uhalisia wa shule za bweni za serijali kuamshana saa 9.Hakuna shule za kuamshana saa 9 usiku mkuu. Au wewe ulisoma bweni huko Burundi?
Wengi wao wanakariri.Jomba 1.3 kwa PCM au PCB haipatikani kiholela. Wenye akili tu wanaipata na sio vinginevyo.