Diego silva
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 414
- 671
Ww umesoma shule za dei hujui kituHakuna shule za kuamshana saa 9 usiku mkuu. Au wewe ulisoma bweni huko Burundi?
Ww umesoma shule za dei hujui kituHakuna shule za kuamshana saa 9 usiku mkuu. Au wewe ulisoma bweni huko Burundi?
😃 😀 😄 😁 🤣 huku JF watu mnajua maisha ya kila mtu. Hongera sanaWw umesoma shule za dei hujui kitu
Wewe ulisoma shule ya bweni?Nina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu hivi.
Hapo mtoto akiwahi kulala atakuwa amelala masaa matano na nusu au pungufu ya hapo kwasababu kuna muda wa kutembea kutoka madarasani hadi mabwenini na muda kujiandaa kulala, hivyo inaweza kuwa chini ya masaa 5 ya kulala. Mimi nilisoma shule za bweni hizohizo lakini tulikuwa tunaruhusiwa kulala saa nne na kuamka saa kumi na moja alfajiri, masaa saba.
Sasa hili la kulala masaa pungufu ya matano, kiafya hikoje? Kwa mtoto aliyeanza kidato cha kwanza na miaka 10-11 kama wengi wa watoto wa siku hizi wanaosoma wakiwa wadogo, lazima changamoto ya kiafya iwepo!
Wahaya wanaongoza kwa kutoa maprofesa wengi kuliko kuliko.kabila lolote TaNadhani hazikutoshi! Suala hili linarekebishika! Hacha mihemuko! Angalau walale saa 4 waamke saa 10 masaa 6 ni standard kwa ubongo kukua na kujirekebisha!
Hahahaha pa1 mkuu😃 😀 😄 😁 🤣 huku JF watu mnajua maisha ya kila mtu. Hongera sana
Hapana inabidi walale masaa 24Mkuu! Kwani kulala masaa matano ndo mpango wa kufaurisha?
Ujinga sana sikuhizi elimu ya tzNina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu hivi.
Hapo mtoto akiwahi kulala atakuwa amelala masaa matano na nusu au pungufu ya hapo kwasababu kuna muda wa kutembea kutoka madarasani hadi mabwenini na muda kujiandaa kulala, hivyo inaweza kuwa chini ya masaa 5 ya kulala. Mimi nilisoma shule za bweni hizohizo lakini tulikuwa tunaruhusiwa kulala saa nne na kuamka saa kumi na moja alfajiri, masaa saba.
Sasa hili la kulala masaa pungufu ya matano, kiafya hikoje? Kwa mtoto aliyeanza kidato cha kwanza na miaka 10-11 kama wengi wa watoto wa siku hizi wanaosoma wakiwa wadogo, lazima changamoto ya kiafya iwepo!
Hapo umenena lakini nyumbani sio mfumo rasmi. Shuleni ni mfumo rasimi vigezo vya kisayansi vya afya ya akili lazima vizingatiwe! Kulala atleast masaa 6Hao hao watoto majumbani wanakesha wakiangalia movies netflix
Sasa huo ndo ukweli. Umelala masaa manne kwa teenagers alafu mchana atamsikiliza mwalimu kweli?Kuna shule moja nilisoma A level,kulala saa tano kuamka saa 9.
Unakuta ndio wanafunzi tumeenda darasani lakini unakuta karibia wote tumelaza vichwa kwenye meza tunaendelea kuuchapa,japo mwalimu akikukuta anakulamba za mgongoni.
Unazingua sasa katika mambo ya muhimu!Hapana inabidi walale masaa 24
Sawa mkuuHapo umenena lakini nyumbani sio mfumo rasmi. Shuleni ni mfumo rasimi vigezo vya kisayansi vya afya ya akili lazima vizingatiwe! Kulala atleast masaa 6
Lazima afe😂😂😂😂😂Kiafya ni mbaya just imagine shule kama zilizopo njombe, iringa na mbeya...
Mtoto anasoma comb ngumu kama pcb..
Bardi lile aiseeee aiseeee
Nimesoma shule za serikali mbili tofauti Olevel na Alevel hadi higher Degrees zaidi ya moja. Sekondari tulikuwa tunaruhusiwa (tena kwa lazima) saa 4 wanafunzi walale na kuhamka saa 11 alfajiri kukimbia mchakamchaka. Masaa 7 ya kulala yalitufanya tuwe na afya ya akili na kumsikiliza mwalimu. Vinginevyo tungeishia kusinzia darasaniWewe ulisoma shule ya bweni?
Ya serikali?
Uliishia la ngapi?
Matokeo yako yalikuwaje?
Nakuuliza maswali haya ili tuweze kujenga hoja. Kule siyo fedha sec. Mkuu
Ahamishwi mtu! Tutabanana hapohapo lakini sina uhakika matokeo yake kama ni chanya maana hawa ndio viongozi na watumishi wa kesho wanakosa usikivu wa jamii wanayoiongoza, kuwa wezi, kukosa uzalendo, nk.Sawa mkuu
Ila unaweza kumhamisha mwanafunzi aende sehem wanapo lala Kwa wakati na kuamka Kwa wakati
Inasababishwa na kutokulala??Ahamishwi mtu! Tutabanana hapohapo lakini sina uhakika matokeo yake kama ni chanya maana hawa ndio viongozi na watumishi wa kesho wanakosa usikivu wa jamii wanayoiongoza, kuwa wezi, kukosa uzalendo, nk.