Wewe jiandaye kwa kisukari.Alevel unakuwa angalau umekomaa. Kwa mfano mimi mtu mzima naweza kulala 6 na kuamka saa 9 kwenda job na sioni shida. Hapo ndani ya huo muda natoa muda wa kumpelekea moto mamsapu wangu. Hapo uenda nikalala masaa 2 😄
Kule Uingereza karibia kila nyumba ina library na unakuta mzazi anamsomea mwanawe kitabu kabla hajakwenda kulala. Kwahiyo unakuta mtoto anapenda kujifunza vitu tangu yupo mdogo.Ulaya na Marekani kusoma ni hobby na lifestyle ila Bongo kusoma inageuka kuwa adhabu
Yeah na kusoma haiwazuii kujihusisha na shughuli zingine za kijamii,kuenjoy maisha kiujumla ila kwetu ili uwe msomi inabidi ukamie na ujitenge kwa jamii ya kawaidaKule Uingereza karibia kila nyumba ina library na unakuta mzazi anamsomea mwanawe kitabu kabla hajakwenda kulala. Kwahiyo unakuta mtoto anapenda kujifunza vitu tangu yupo mdogo.
Bongo bahati mbaya mkuu.Yeah na kusoma haiwazuii kujihusisha na shughuli zingine za kijamii,kuenjoy maisha kiujumla ila kwetu ili uwe msomi inabidi ukamie na ujitenge kwa jamii ya kawaida
Wapeleke kule wasipokua na mpango wa kufaurishaNiwapeleke wapi?
...Rekebisha heading...Hulala Sio Ulala ! 🙂Nina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu hivi.
Hapo mtoto akiwahi kulala atakuwa amelala masaa matano na nusu au pungufu ya hapo kwasababu kuna muda wa kutembea kutoka madarasani hadi mabwenini na muda kujiandaa kulala, hivyo inaweza kuwa chini ya masaa 5 ya kulala. Mimi nilisoma shule za bweni hizohizo lakini tulikuwa tunaruhusiwa kulala saa nne na kuamka saa kumi na moja alfajiri, masaa saba.
Sasa hili la kulala masaa pungufu ya matano, kiafya hikoje? Kwa mtoto aliyeanza kidato cha kwanza na miaka 10-11 kama wengi wa watoto wa siku hizi wanaosoma wakiwa wadogo, lazima changamoto ya kiafya iwepo!
Hamisha mwanao au mpeleke shule ya private acha wanaokubali waendeleeNina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu hivi.
Hapo mtoto akiwahi kulala atakuwa amelala masaa matano na nusu au pungufu ya hapo kwasababu kuna muda wa kutembea kutoka madarasani hadi mabwenini na muda kujiandaa kulala, hivyo inaweza kuwa chini ya masaa 5 ya kulala. Mimi nilisoma shule za bweni hizohizo lakini tulikuwa tunaruhusiwa kulala saa nne na kuamka saa kumi na moja alfajiri, masaa saba.
Sasa hili la kulala masaa pungufu ya matano, kiafya hikoje? Kwa mtoto aliyeanza kidato cha kwanza na miaka 10-11 kama wengi wa watoto wa siku hizi wanaosoma wakiwa wadogo, lazima changamoto ya kiafya iwepo!
Kama ni kweli...walimu wote wafukuzwe kazi ..pia serikali iweke jumamosi na jumapili kuwa marufuku wanafunzi kwenda shule wa level zoteNina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu hivi.
Hapo mtoto akiwahi kulala atakuwa amelala masaa matano na nusu au pungufu ya hapo kwasababu kuna muda wa kutembea kutoka madarasani hadi mabwenini na muda kujiandaa kulala, hivyo inaweza kuwa chini ya masaa 5 ya kulala. Mimi nilisoma shule za bweni hizohizo lakini tulikuwa tunaruhusiwa kulala saa nne na kuamka saa kumi na moja alfajiri, masaa saba.
Sasa hili la kulala masaa pungufu ya matano, kiafya hikoje? Kwa mtoto aliyeanza kidato cha kwanza na miaka 10-11 kama wengi wa watoto wa siku hizi wanaosoma wakiwa wadogo, lazima changamoto ya kiafya iwepo!
Hahhahahha hamna wasomi ni kukariri tuWacha wakariri
Mkuu! Kwani kulala masaa matano ndo mpango wa kufaurisha?Wapeleke kule wasipokua na mpango wa kufaurisha
BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania). Sijapitia huko broh!...Rekebisha heading...Hulala Sio Ulala ! 🙂
Tutabanana hapohapo hakimbii mtu ila warekebishe wawaongezee muda wa kulala angalau masaa 6Wahamishe mzee baba
Nadhani hazikutoshi! Suala hili linarekebishika! Hacha mihemuko! Angalau walale saa 4 waamke saa 10 masaa 6 ni standard kwa ubongo kukua na kujirekebisha!Hamisha mwanao au mpeleke shule ya private acha wanaokubali waendelee
Hakuna anayekulazikisha kuwa mwanao laIma asome hapo.Mtafutie shule ambayo wanalala saa 12 jioni wanaamka saa moja asubuhi
Wewe unaweza kukariri kama wao? Punguza wivu.Wengi wao wanakariri.