Wanafunzi wa bweni shule za serikali ulala masaa yasiyozidi 5 kila siku. Kiafya imekaaje?

International Schools hukuti huo upumbavu.
Zingatia neno International
 
Saa 9 wanaamka waende wapi? Labda ni ratiba binafsi au wanaongeza chumvi tu!
 
Ulaya na Marekani kusoma ni hobby na lifestyle ila Bongo kusoma inageuka kuwa adhabu
 
Ulaya na Marekani kusoma ni hobby na lifestyle ila Bongo kusoma inageuka kuwa adhabu
Kule Uingereza karibia kila nyumba ina library na unakuta mzazi anamsomea mwanawe kitabu kabla hajakwenda kulala. Kwahiyo unakuta mtoto anapenda kujifunza vitu tangu yupo mdogo.
 
Kule Uingereza karibia kila nyumba ina library na unakuta mzazi anamsomea mwanawe kitabu kabla hajakwenda kulala. Kwahiyo unakuta mtoto anapenda kujifunza vitu tangu yupo mdogo.
Yeah na kusoma haiwazuii kujihusisha na shughuli zingine za kijamii,kuenjoy maisha kiujumla ila kwetu ili uwe msomi inabidi ukamie na ujitenge kwa jamii ya kawaida
 
...Rekebisha heading...Hulala Sio Ulala ! 🙂
 
Hamisha mwanao au mpeleke shule ya private acha wanaokubali waendelee
Hakuna anayekulazikisha kuwa mwanao laIma asome hapo.Mtafutie shule ambayo wanalala saa 12 jioni wanaamka saa moja asubuhi
 
Kama ni kweli...walimu wote wafukuzwe kazi ..pia serikali iweke jumamosi na jumapili kuwa marufuku wanafunzi kwenda shule wa level zote
 
Hamisha mwanao au mpeleke shule ya private acha wanaokubali waendelee
Hakuna anayekulazikisha kuwa mwanao laIma asome hapo.Mtafutie shule ambayo wanalala saa 12 jioni wanaamka saa moja asubuhi
Nadhani hazikutoshi! Suala hili linarekebishika! Hacha mihemuko! Angalau walale saa 4 waamke saa 10 masaa 6 ni standard kwa ubongo kukua na kujirekebisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…