Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

Kwa mafunzo wako vizuri, kama vijana wao wameonyesha kwa vitendo ujuzi walioupata darasani, hakuna shida; wanatakiwa wapewe vitengo vya ufumbuzi zaidi vya kiteknolojia huko duniani
 
Halafu eti chuo hichi kitoe wasomi waje watawale kwa uadilifu?
Tunataabika sana kwa wasomi wa aina hii
Hawana wajualo zaidi ya kuiba tu.
Tunataka elimu sahihi sasa
Kuweza kutegua mifumo ya kiteknolojia ni muhimu kwa wabobezi wa IT; hujawahi kujiuliza wanatumia teknolojia ipi ku-block mawasiliano kwenye eneo fulani?
 
chuo kikuu tanzania huria(OUT) ndio chuo bora chenye wataalamu wa kutengeneza mifumo
 
Kwamba wamepewa muda walipe!? Kwa upande wangu mimi naona wamefanya kosa la jinai na uhujumu uchumi hivyo walipaswa kufukuzwa chuo na kushitakiwa mahakamani. Kitendo cha kughushi hadi mihuri ya benki, sio jambo dogo hata kidogo.
 
Hapo wana wazoom tu ila watu watafutiwaa matokeo hapoo...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si huwa wanawasema it wetu wa bongo ninwachoma Cd...🤣🤣
 
Si huwa wanawasema it wetu wa bongo ninwachoma Cd...🤣🤣
Hata hivyo ni zaidi ya wachoma cd tu.
Wangeingilia mfumo wa bank ningewaheshimu sana
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Pale chuo, burser ukimpelekea control number anakuprintia risiti inayotakiwa.
Mtaani, kuna mtaalam anayeweza kutengeneza risiti za halali za malipo (huwa zinatumika kuthibitisha malipo ya kumbi)
je, inawezekana kuchiti? ni mfano tu.
 
Bongo hakuna kitu kama hicho na haitakaaa itokee hapo IT wa chuo itakuwa kauza game kwa mtu katembea na password kibongo bongo bado sana hzo mambo tusidanganyane
 
Kizazi cha kwanza Cha Hackers kwa Tanzania ,

Niwapongeze waendelee hivyo hivyo , ifikie mahali hata hizi hela za benki na kodi wazile
Watu wanapiga mabilioni ya tozo + kodi pale bandarini kitambo.
 
Umejuaje haya mambo! Utakuwa mmojawapo upo kwenye mfumo!
Maana ya kwenda shule na kuelimika ni kwa kujiuliza kuwa inakuwaje mfumo wa malipo ya ushuru,forodha na kodi pale bandarini unakuwa haufanyu kazi mara kwa mara!!???

Kung'amua hilo kwangu mimi ninayeyoa mizigo yangu mara kwa mara pale bandarini kunanifanya niwe mfumoni!!???

Pole kwa kutopewa akili ya "reasoning".
 
Kwamba wamepewa muda walipe!? Kwa upande wangu mimi naona wamefanya kosa la jinai na uhujumu uchumi hivyo walipaswa kufukuzwa chuo na kushitakiwa mahakamani. Kitendo cha kughushi hadi mihuri ya benki, sio jambo dogo hata kidogo.
Wanasubiri walipe kwanza, baada ya hapo kibano kitafuatia
 
Back
Top Bottom