Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

Unawajua hackers mkuu?
 
Unawajua hackers mkuu?
Hakuna cha Hackers wala nini... Yani wewe Uhack system ujiandikie umelipa wakati haujapeleka risiti kwa Ofisi ya mhasibu unajisumbua hapo Mhasibu nae kala dili la kuchezeshaa risiti. Ingekuwa rahisi hivyo watu wangehack mfumo wa Matokeo wajiandikie GPA kubwa ila hii story ni Uongoo mtupu hakuna kuhack wala nini ila Mhasibu alikuwa anakula dili kuclear watu kama wamelipa kumbe sio kweli then anakula chochote kitu.
 
Wanafunzi hao wapewe nishani ya ushujaa na serikali iangalie namna ya kutumia utaalamu wao kwa maslahi ya nchi. Hata kama wameemerge kupitia negative side lakini wanafaa kwa matumizi ya sirikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…