Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Kwenye shule wala sio za kiislamu bali ikimilikiwa na muislamu mbona wakristo wanavaa hijabu na hawalalalimiki.Ni utamaduni... Huwezi kuzuiya mtu kufuata utamaduni wake. Mfano uende Ulaya ulazimishwe kuwa shoga. Siyo sawa
Masista ni watumishi wa kanisa sio waumini wa kawaida,wao wana dress code yao. Chuo kina dress code zake ambazo inabidi zifuatwe lakini pia hijab siyo hiari na ndiyo maana wanawake huko Iran, Saudi Arabia nk wanapambana wawe na haki ya kuvaa watakavyo .Kama nchi ya kiislamu ikataka mavazi yasiyo stara ,dunia nzima inasema kwamba ni democray kila mtu avae atakavyo.
Chuoni kama hapo tumekubali ,il ukweli nyie ni wanafiki na mnafanya mambo bila ya kutumia akili ...Tangu lin kujifunika kichwa ikawa ni kosa katika ukristo?
Ebu angalia sanamu ya Maria kanisani unakuta imevaa hijabu ,hebu angalia wale ma'sisters ambao ni devoted servants pale tena hata shule za kikristo nimekaa pale Magamba Forest Lushoto naona wale matron wao wanavaa hijab kwa shule ya st Mazinde juu.
Kufunika kichwa haijawahi kuwa jambo geni ,ishu ni chuki.View attachment 2919705
Dini yangu ni ipi?Ukiwa m-dini sana unakuwa kipofu.
Mbona wanaume hatujifuniki? Wanawake hawatutamani?Elewa maana ya bughuzi kuanzia kichwa yaani nywele ,kuleta mvuto na ushawishi ,nywele kwa mwanamke ni pamb hata sehemu yake kubwa ya mwili ni pambo.
Kanisani palikatazwa watu kuonyesha mapambo kama nywele zao kama unabisha nakuletea andiko hapa!?
Ushawishi katika kuleta matatizo ,kumbuka mwanamke ni mtu wa aibu angalau akibaa stara inaweza kupunguza vishawishi vya kutongozwa.
Kutongozwa ni kawaida ila anapunguza pia ni kisheria ,kuvaa stara katika dini hata mila za Mtanzania.
Wapi kwenye Quran inasema msali mara 5?Zile amri kumi mmezitoa wapi wakati walipewa mayahudi.
Kama mavazi uliambiwa wapi ma'sisters wavae vile wakati ni mfumo wa kikoloni ,ebu nionyeshe kweny Bible kwamba mapandre na masisters wavae vile?
Ulimuona wapi Maria akiwa amevaa mavazi unayo yasema?Waislamu wanamfuata Yesu kivitendo,sio kwa maneno tu.Mama Mariya,ni mama wa Yesu,ni katika uislamu,huyu mama anahesabika ni mwanamke bora,kuliko wanawake wote,kwa kufuata alivyokuwa akivyaa,ni kumfuata mwanamke bora.
Allah anajua wanaume tu wa kiislamu ndio wana hiyo shida ndio maana kawaahidia mabikira 72 wajinome wakienda peponi ila wanawake hajawaahidi mabwana hata wavae mahijabu watawashangaa waume zao wakiwa kwenye vifua vya mabikira 72 wakijinoma wao wakiwa watazamajiMbona wanaume hatujifuniki? Wanawake hawatutamani?
Chuo chao pale Moro hakipati wanafunzi wengi kwa sababu ya restrictions za mavazi na wanafunzi kukosa uhuru. Hata vijana wa kiislamu wanaona bora ku-apply vyuo vya makanisa kuliko chuo chao.kwenye vyuo vya kiislamu hamlazimishi wasio waislamu kuvaa hijabu? mbona kila mara nyie tu ndio mnaonewa
😂😂🍹Allah anajua wanaume tu wa kiislamu ndio wana hiyo shida ndio maana kawaahidia mabikira 72 wajinome wakienda peponi ila wanawake hajawaahidi mabwana hata wavae mahijabu watawashangaa waume zao wakiwa kwenye vifua vya mabikira 72 wao wakiwa watazamaji
Zile dressing code mmezitoa wapi ? Kwa ni unique dunia mzima ?Masista ni watumishi wa kanisa sio waumini wa kawaida,wao wana dress code yao. Chuo kina dress code zake ambazo inabidi zifuatwe lakini pia hijab siyo hiari na ndiyo maana wanawake huko Iran, Saudi Arabia nk wanapambana wawe na haki ya kuvaa watakavyo .
Maamuzi yao ya dini yaoZile dressing code mmezitoa wapi ? Kwa ni unique dunia mzima ?
Kama ukristo hajitambui kujifunika kichwa,kuna haja gani wamevae vile kichwani?
Hii ni moja ya faida sio zote ,tambua kuchochoe ..Kama unakubali kumtamani ni kuzini .Mbona wanaume hatujifuniki? Wanawake hawatutamani?
Ulimuona wapi Maria akiwa amevaa mavazi unayo yasema?
Mavazi ya kiislamu ni hayafahi vyuoni wapigwe marufuku hata mashuleniHabari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Kwa hiyo nyie pale kanisani mna double standards ,kweny mavazi😅Maamuzi yao ya dini yao
Stara ndio kitu gani ninyi? Kwanza hakuna kitu kinachoitwa wanafunzi wa kiislamu , Kikristu, kipagani , kihindi, kichaga, kizaramu kinyaturu nk. Hao wanaitwa Wanafunzi wa kitanzania na dressing code kwa wanafunzi wa Kila shule ni Moja. Mmasai hatovaa RUBEGA zake shuleni. Ninyi mnaleta Mavazi ya kimila za kiarabu eti sitara, sitara ya wapi?Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
WAISIHARAMU NI WAPUMBAVU SANA KWENYE KILA JAMBO ...NDIYO WALIO ZUIA KUTAJWA JINA LA JPM KWENYE MIRADI...KAMA SGR NA BWAWA LA NYEREREWazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!
Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
Ni kweli, haya aliyaanzisha Mwinyi. Kuitwa uniform maana yake wote mfanane kimuonekano.Mimi bado mpaka leo nailaumu Serikali kwa kuruhusu vazi la Hijab kwenye shule za msingi na sekondari! Kwenye vyuo sina tatizo maana pale ni watu wazima wana uhuru wa kuchagua!
Lilikuwa kosa la kipumbavu sana hiloMimi bado mpaka leo nailaumu Serikali kwa kuruhusu vazi la Hijab kwenye shule za msingi na sekondari! Kwenye vyuo sina tatizo maana pale ni watu wazima wana uhuru wa kuchagua!
Sio kweli kama ni hivyo madaktari wanaume hospitalii wangeshikwa ubakaji kila sikuHii ni moja ya faida sio zote ,tambua kuchochoe ..Kama unakubali kumtamani ni kuzini .
Inakuwaje unaruhusu wanawake wakae uchi ili watu watamani?
Mwanamke akikaa nusu uchi ,kwa maumbile ya mwanaume labda awe hanithi ila lazima amtamani.!