Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Ni utamaduni... Huwezi kuzuiya mtu kufuata utamaduni wake. Mfano uende Ulaya ulazimishwe kuwa shoga. Siyo sawa
Kwenye shule wala sio za kiislamu bali ikimilikiwa na muislamu mbona wakristo wanavaa hijabu na hawalalalimiki.
Huo utamaduni wa ukatoliki inabidi mfuate
 
Kama nchi ya kiislamu ikataka mavazi yasiyo stara ,dunia nzima inasema kwamba ni democray kila mtu avae atakavyo.

Chuoni kama hapo tumekubali ,il ukweli nyie ni wanafiki na mnafanya mambo bila ya kutumia akili ...Tangu lin kujifunika kichwa ikawa ni kosa katika ukristo?

Ebu angalia sanamu ya Maria kanisani unakuta imevaa hijabu ,hebu angalia wale ma'sisters ambao ni devoted servants pale tena hata shule za kikristo nimekaa pale Magamba Forest Lushoto naona wale matron wao wanavaa hijab kwa shule ya st Mazinde juu.

Kufunika kichwa haijawahi kuwa jambo geni ,ishu ni chuki.View attachment 2919705
Masista ni watumishi wa kanisa sio waumini wa kawaida,wao wana dress code yao. Chuo kina dress code zake ambazo inabidi zifuatwe lakini pia hijab siyo hiari na ndiyo maana wanawake huko Iran, Saudi Arabia nk wanapambana wawe na haki ya kuvaa watakavyo .
 
Elewa maana ya bughuzi kuanzia kichwa yaani nywele ,kuleta mvuto na ushawishi ,nywele kwa mwanamke ni pamb hata sehemu yake kubwa ya mwili ni pambo.

Kanisani palikatazwa watu kuonyesha mapambo kama nywele zao kama unabisha nakuletea andiko hapa!?

Ushawishi katika kuleta matatizo ,kumbuka mwanamke ni mtu wa aibu angalau akibaa stara inaweza kupunguza vishawishi vya kutongozwa.

Kutongozwa ni kawaida ila anapunguza pia ni kisheria ,kuvaa stara katika dini hata mila za Mtanzania.
Mbona wanaume hatujifuniki? Wanawake hawatutamani?
 
Zile amri kumi mmezitoa wapi wakati walipewa mayahudi.

Kama mavazi uliambiwa wapi ma'sisters wavae vile wakati ni mfumo wa kikoloni ,ebu nionyeshe kweny Bible kwamba mapandre na masisters wavae vile?
Wapi kwenye Quran inasema msali mara 5?
 
Waislamu wanamfuata Yesu kivitendo,sio kwa maneno tu.Mama Mariya,ni mama wa Yesu,ni katika uislamu,huyu mama anahesabika ni mwanamke bora,kuliko wanawake wote,kwa kufuata alivyokuwa akivyaa,ni kumfuata mwanamke bora.
Ulimuona wapi Maria akiwa amevaa mavazi unayo yasema?
 
Mbona wanaume hatujifuniki? Wanawake hawatutamani?
Allah anajua wanaume tu wa kiislamu ndio wana hiyo shida ndio maana kawaahidia mabikira 72 wajinome wakienda peponi ila wanawake hajawaahidi mabwana hata wavae mahijabu watawashangaa waume zao wakiwa kwenye vifua vya mabikira 72 wakijinoma wao wakiwa watazamaji
 
kwenye vyuo vya kiislamu hamlazimishi wasio waislamu kuvaa hijabu? mbona kila mara nyie tu ndio mnaonewa
Chuo chao pale Moro hakipati wanafunzi wengi kwa sababu ya restrictions za mavazi na wanafunzi kukosa uhuru. Hata vijana wa kiislamu wanaona bora ku-apply vyuo vya makanisa kuliko chuo chao.
 
Allah anajua wanaume tu wa kiislamu ndio wana hiyo shida ndio maana kawaahidia mabikira 72 wajinome wakienda peponi ila wanawake hajawaahidi mabwana hata wavae mahijabu watawashangaa waume zao wakiwa kwenye vifua vya mabikira 72 wao wakiwa watazamaji
😂😂🍹
 
Masista ni watumishi wa kanisa sio waumini wa kawaida,wao wana dress code yao. Chuo kina dress code zake ambazo inabidi zifuatwe lakini pia hijab siyo hiari na ndiyo maana wanawake huko Iran, Saudi Arabia nk wanapambana wawe na haki ya kuvaa watakavyo .
Zile dressing code mmezitoa wapi ? Kwa ni unique dunia mzima ?

Kama ukristo hajitambui kujifunika kichwa,kuna haja gani wamevae vile kichwani?
 
Mbona wanaume hatujifuniki? Wanawake hawatutamani?
Hii ni moja ya faida sio zote ,tambua kuchochoe ..Kama unakubali kumtamani ni kuzini .

Inakuwaje unaruhusu wanawake wakae uchi ili watu watamani?

Mwanamke akikaa nusu uchi ,kwa maumbile ya mwanaume labda awe hanithi ila lazima amtamani.!
 
Ulimuona wapi Maria akiwa amevaa mavazi unayo yasema?

Hii sanamu mmeitoa wapi? Mnaabudu msichokijua sio?

Sanamu hii yenye hijab kama mnaipa heshima ,kwa nn wengine wakivaa hamtaki?
statue-maria-jesus-hold-thai-church-34522085.jpg
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Mavazi ya kiislamu ni hayafahi vyuoni wapigwe marufuku hata mashuleni
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Stara ndio kitu gani ninyi? Kwanza hakuna kitu kinachoitwa wanafunzi wa kiislamu , Kikristu, kipagani , kihindi, kichaga, kizaramu kinyaturu nk. Hao wanaitwa Wanafunzi wa kitanzania na dressing code kwa wanafunzi wa Kila shule ni Moja. Mmasai hatovaa RUBEGA zake shuleni. Ninyi mnaleta Mavazi ya kimila za kiarabu eti sitara, sitara ya wapi?
 
Wazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!

Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
WAISIHARAMU NI WAPUMBAVU SANA KWENYE KILA JAMBO ...NDIYO WALIO ZUIA KUTAJWA JINA LA JPM KWENYE MIRADI...KAMA SGR NA BWAWA LA NYERERE
 
Mimi bado mpaka leo nailaumu Serikali kwa kuruhusu vazi la Hijab kwenye shule za msingi na sekondari! Kwenye vyuo sina tatizo maana pale ni watu wazima wana uhuru wa kuchagua!
Ni kweli, haya aliyaanzisha Mwinyi. Kuitwa uniform maana yake wote mfanane kimuonekano.
 
Mimi bado mpaka leo nailaumu Serikali kwa kuruhusu vazi la Hijab kwenye shule za msingi na sekondari! Kwenye vyuo sina tatizo maana pale ni watu wazima wana uhuru wa kuchagua!
Lilikuwa kosa la kipumbavu sana hilo
Hata vyuoni tujiepushe na huo uhuni
 
Hii ni moja ya faida sio zote ,tambua kuchochoe ..Kama unakubali kumtamani ni kuzini .

Inakuwaje unaruhusu wanawake wakae uchi ili watu watamani?

Mwanamke akikaa nusu uchi ,kwa maumbile ya mwanaume labda awe hanithi ila lazima amtamani.!
Sio kweli kama ni hivyo madaktari wanaume hospitalii wangeshikwa ubakaji kila siku
Ukware tu wa wanaume waislamu hawawezi kudhibiti matamanio

Sasa mwislamu mfano amended beach zetu hizi akute wanawake waliovaa vichupi tu na visibility si dude.litavimba na kujikojolra hadi akojoe damu

Lakini unakuta wanaume kibao wanaojielewa na kudhibiti matamanio wala hawana habari nao hata wauza madafu tu wanaune rijali wanaendelea tu kuuza madafu yao wala nyege hawapandishi

Kubalini tu kuwa dini ya kiislamu wanaume hawana uwezo wa kudhibiti matamanio tofauti na dini zingine
 
Back
Top Bottom