Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Kwenye shule wala sio za kiislamu bali ikimilikiwa na muislamu mbona wakristo wanavaa hijabu na hawalalalimiki.Ni utamaduni... Huwezi kuzuiya mtu kufuata utamaduni wake. Mfano uende Ulaya ulazimishwe kuwa shoga. Siyo sawa
Huo utamaduni wa ukatoliki inabidi mfuate